Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile
Wasemaji wa Kisekta

@actbarazakivuli

Official Account of the @actwazalendo Shadow Cabinet Research Office (SCaRO) under the office of the Party Leader @SemuDorothy and shadow PM @MchinjitaIR

ID: 1495511708860915714

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today20-02-2022 21:33:34

2,2K Tweet

2,2K Followers

197 Following

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Tunasisitiza kwamba watumishi wote wanaohusika na kuwezesha kuwepo na kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu na upotevu wa mapato wakamatwe na hatua kali za kisheria na kiutawala zichukuliwe." Waziri Mkuu Kivuli Isihaka Mchinjita #MaduduNiYaleyale ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta

"Tunasisitiza kwamba watumishi wote wanaohusika na kuwezesha kuwepo na kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu na upotevu wa mapato wakamatwe na hatua kali za kisheria na kiutawala zichukuliwe."

Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita

#MaduduNiYaleyale
ACTWazalendo
Wasemaji wa Kisekta
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Dorothy Semu, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kuwa Chama hicho kitaitumia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonesha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba wamechoka kuona fedha zinawanufaisha watu wachache waliokuwa madarakani , kuona miradi

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Kama mataifa ya Ethiopia kupitia Ethiopian Airlines au China kupitia Huawei wameweza kuyaendesha mashirika yao ya umma kwa mafanikio na weledi, Tanzania pia inaweza. Kinachotakiwa ni uongozi makini, na si CCM iliyofilisika kisera na kifikra.” Waziri Kivuli wa Fedha Kiza Mayeye.

"Kama mataifa ya Ethiopia kupitia Ethiopian Airlines au China kupitia Huawei wameweza kuyaendesha mashirika yao ya umma kwa mafanikio na weledi, Tanzania pia inaweza. Kinachotakiwa ni uongozi makini, na si CCM iliyofilisika kisera na kifikra.”

Waziri Kivuli wa Fedha
Kiza Mayeye.
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Tunataka serikali iwaheshimu watumishi na wastaafu kwa kuwatendea haki, iwalipe malimbikizo na stahiki zao zote kwa wakati na ipeleke fedha za watumishi zinazokwenda kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii haraka." Waziri Kivuli wa Fedha Kiza Mayeye. #MaduduNiYaleyale ACTWazalendo

"Tunataka serikali iwaheshimu watumishi na wastaafu kwa kuwatendea haki, iwalipe malimbikizo na stahiki zao zote kwa wakati na ipeleke fedha za watumishi zinazokwenda kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii haraka."

Waziri Kivuli wa Fedha
Kiza Mayeye.

#MaduduNiYaleyale
ACTWazalendo
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Bilioni 403 zapotea kwenye Mashirika ya Umma kwa uzembe na ufisadi wa Serikali ya CCM." Waziri Kivuli wa Fedha, Kiza Mayeye. #MaduduNiYaleyale #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 11, 2025 Naibu Katibu Idara ya Fedha Ngome ya vijana_Official Taifa ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndugu Rahuuuum amechukua fomu kuomba Ubunge Jimbo la Kinondoni. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia ACTWazalendo

Leo Mei 11, 2025 Naibu Katibu Idara ya Fedha Ngome ya vijana_Official Taifa ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndugu Rahuuuum amechukua fomu kuomba Ubunge Jimbo la Kinondoni.

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia
ACTWazalendo
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

UCHAMBUZI: Chama cha #ACTWazalendo kikichambua Ripoti ya CAG Mwaka 2023/24, kimesema Deni la Taifa limepanda kufikia Tsh. Trilioni 97.35 kutoka Tsh. Trilioni 82.25 Mwaka uliopita, hilo ni ongezeko la zaidi ya Tsh. Trilioni 15, hali hiyo inaweka hatari mustakabali wa Taifa kwa

UCHAMBUZI: Chama cha #ACTWazalendo kikichambua Ripoti ya CAG Mwaka 2023/24, kimesema Deni la Taifa limepanda kufikia Tsh. Trilioni 97.35 kutoka Tsh. Trilioni 82.25 Mwaka uliopita, hilo ni ongezeko la zaidi ya Tsh. Trilioni 15, hali hiyo inaweka hatari mustakabali wa Taifa kwa
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Serikali inapaswa kuzingatia mipango yake na kujiepushia na mienendo ya ulafi wa mikopo isiyokuwa na mipangilio." Waziri Mkuu Kivuli Isihaka Mchinjita #MaduduNiYaleyale #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta

"Serikali inapaswa kuzingatia mipango yake na kujiepushia na mienendo ya ulafi wa mikopo isiyokuwa na mipangilio."

Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita

#MaduduNiYaleyale
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 12, 2025 Naibu Waziri Kivuli wa Wizara Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Ndugu Juster Denis Celestine, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Shinyanga Mjini. Amekabidhiwa fomu na Mwenyekiti wa ACTWazalendo jimbo la Shinyanga Mjini, Ndugu

Ntakije iddy Mayeye ntanena (@iddyntanena) 's Twitter Profile Photo

"Serikali inapaswa kuzingatia mipango yake na kujiepushia na mienendo ya ulafi wa mikopo isiyokuwa na mipangilio." Waziri Mkuu Kivuli Isihaka Mchinjita #MaduduNiYaleyale #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta

"Serikali inapaswa kuzingatia mipango yake na kujiepushia na mienendo ya ulafi wa mikopo isiyokuwa na mipangilio."

Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita

#MaduduNiYaleyale
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta
Aisha Juma (@naomi_ntanena) 's Twitter Profile Photo

"Serikali inapaswa kuzingatia mipango yake na kujiepushia na mienendo ya ulafi wa mikopo isiyokuwa na mipangilio." Waziri Mkuu Kivuli Isihaka Mchinjita #MaduduNiYaleyale #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta

"Serikali inapaswa kuzingatia mipango yake na kujiepushia na mienendo ya ulafi wa mikopo isiyokuwa na mipangilio."

Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita

#MaduduNiYaleyale
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta
Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile Photo

Kalimbwe Kalihamwe (@kalihamwek) 's Twitter Profile Photo

"Serikali inapaswa kuzingatia mipango yake na kujiepushia na mienendo ya ulafi wa mikopo isiyokuwa na mipangilio." Waziri Mkuu Kivuli Isihaka Mchinjita #MaduduNiYaleyale #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta

"Serikali inapaswa kuzingatia mipango yake na kujiepushia na mienendo ya ulafi wa mikopo isiyokuwa na mipangilio."

Waziri Mkuu Kivuli
Isihaka Mchinjita

#MaduduNiYaleyale
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo Wasemaji wa Kisekta
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

Mtutura: Serikali Haina Nia ya Kukuza Kilimo. Dar es Salaam, 23 Mei 2025 — Chama cha ACT Wazalendo kimetoa uchambuzi mkali wa bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa na Waziri Hussein Bashe, kikieleza kuwa bajeti hiyo ni ishara ya wazi kwamba Serikali haina dhamira ya dhati

Mtutura: Serikali Haina Nia ya Kukuza Kilimo.

Dar es Salaam, 23 Mei 2025 — Chama cha ACT Wazalendo kimetoa uchambuzi mkali wa bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa na Waziri Hussein Bashe, kikieleza kuwa bajeti hiyo ni ishara ya wazi kwamba Serikali haina dhamira ya dhati
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Chama cha ACT Wazalendo ACTWazalendo kimetoa uchambuzi mkali wa bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa na Waziri Hussein Bashe, kikieleza kuwa bajeti hiyo ni ishara ya wazi kwamba Serikali haina dhamira ya dhati ya kuendeleza sekta ya kilimo na kuwaondoa wakulima katika

Chama cha ACT Wazalendo ACTWazalendo kimetoa uchambuzi mkali wa bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa na Waziri Hussein Bashe, kikieleza kuwa bajeti hiyo ni ishara ya wazi kwamba Serikali haina dhamira ya dhati ya kuendeleza sekta ya kilimo na kuwaondoa wakulima katika
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 29, 2025 Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ndugu Janeth Rithe amealaani ukatili dhidi ya raia wa Afrika Mashariki nchini Tanzania! Hii ni baada ya matukio ya hivi karibuni ya kuzuiwa Uwanja wa Ndege bila sababu Kiongozi wa

Leo Mei 29, 2025 Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ndugu Janeth Rithe amealaani ukatili dhidi ya raia wa Afrika Mashariki nchini Tanzania!

Hii ni baada ya matukio ya hivi karibuni ya kuzuiwa Uwanja wa Ndege bila sababu Kiongozi wa
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

Waziri Kivuli wa Miundombinu, Mhandisi Eng Mohamed Mtambo, amechangia Shilingi Milioni 2 kufanikisha Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Julai. Mkutano Mkuu ni hatua muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia

Waziri Kivuli wa Miundombinu, Mhandisi Eng Mohamed Mtambo, amechangia Shilingi Milioni 2 kufanikisha Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Julai. Mkutano Mkuu ni hatua muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba.

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia
Wasemaji wa Kisekta (@actbarazakivuli) 's Twitter Profile Photo

"Unapoona Serikali inashindwa kushughulikia wizi wa fedha za umma tafsiri yake Serikali nzima ni genge la wizi." Waziri Mkuu Kivuli wa ACTWazalendo Isihaka Mchinjita #AjiraKwaWoteMaslahiYaWote

"Unapoona Serikali inashindwa kushughulikia wizi wa fedha za umma tafsiri yake Serikali nzima ni genge la wizi."

Waziri Mkuu Kivuli wa ACTWazalendo
Isihaka Mchinjita

#AjiraKwaWoteMaslahiYaWote