
ACTWazalendo
@actwazalendo
ACT Wazalendo ni Chama cha Siasa Nchini Tanzania kinachoahidi kuleta |ZanzibarMpya |ZanzibarMoja |MamlakaKamili |TaifaLaWote |MaslahiYaWote
ID: 1053666023277281280
http://www.actwazalendo.or.tz 20-10-2018 15:15:30
23,23K Tweet
16,16K Followers
348 Following

Ahsante sana Makamu Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official Taifa, Ndugu Nassor Mahrun kwa kuchangia Tsh 700,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Muhtasari wa siku 15 za ziara ya βOperesheni Majimajiβ kwa Msafara wa KC Mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo

Leo! Ni kumbukumbu ya kuzaliwa Katibu Mkuu wa chama chetu cha ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu. Sote tunamtakia kila heri na baraka anapoadhimisha siku hii adhimu kwake.



"Tunapata Uhuru, Tanga ilikuwa na viwanda 119, leo Tanga haina viwanda. CCM waliikuta Bandari ya Tanga inafanya vizuri, leo bandarini Tanga hakuna shughuli nyingi. Sasa nchi inategemea mikopo." Makamu Mwenyekiti Bara Isihaka Mchinjita Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo

TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACTWazalendo kinaitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar kurejea utaratibu wa uliozoeleka wa kuwapatia wapiga kura vitambulisho kupitia shehia zao badala ya Ofisi za Tume ya Uchaguzi Wilaya. Imetolewa Katibu Mwenezi Taifa, Salim Bimani Oktoba #LindaKura


Leo Julai 17, 2025 Kiongozi wa ACTWazalendo Ndugu Dorothy Semu ameongoza Kikao cha Kamati Uongozi kilichofanyika katika Ukumbi Juma Duni Haji Makao Makuu DSM. Waliohudhuria kikao hicho ni pamoja na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Othman Masoud Othman na Katibu Mkuu, Ndugu @AdoShaib



"Leo ukimtazama kijana wa miaka 25, anaonekana kama ana miaka 45. Sababu vyuma vimekaza. Hakuna ajira!" Waziri Kivuli wa Fedha na Mwenyekiti wa ACTWazalendo Kigoma Kiza Mayeye. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

Leo Makamu Mwenyekiti ACTWazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita alikuwa Wasafi Fm katika kipindi cha Good Morning. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi




"Mwaka wa jana, korosho imeingiza zaidi ya Trilioni moja na Bilioni 300. lakini mkoa wa Mtwara wilaya zake zote hazijaunganishwa kwa lami. CCM haiwataki watu wa Mtwara. CCM haiwataki watu wa Kusini." KC Mstaafu wa ACTWazalendo Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

Ulnzi na usalama ni jukumu la kila raia. β¦Police Force TZβ© kujitokeza hadharani kukataa raia kushiriki ulinzi wa kura katikati ya tuhuma za polisi kushiriki wizi wa kura na kushindwa kuwachukulia hatua wezi wa kura waliofikishwa mikononi mwa polisi ni wazo la kihalifu. #LindaKura


Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Katibu wa Idara ya Fedha ya ACTWazalendo, Ndugu Rachel Kimambo. Tunamtakia umri mrefu, afya njema na mafanikio katika shughuli zake za kila siku.ππΏ


Ahsante sana Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Ndugu Ismail Jussa kwa kuchangia Tsh 10,000,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


πShinyanga "Tunajua, mmejazwa woga; na huu woga ndio mtaji wa Chama Cha Mapinduzi. Wamegundua, ili waendelee kuwa madarakani lazima nyie muwe waoga." Naibu Katibu Mwenezi shangwe Ayo Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo

Ahsante sana Mwanasheria Mkuu wa Chama, Ndugu Omar Said Shaaban kwa kuchangia Tsh 10,000,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum. OKTOBA #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


π Bariadi Simiyu "Tunakwenda kushiriki uchaguzi; kutumia jukwaa la uchaguzi kuleta mabadiliko." KC Dorothy Semu Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo