
Augustine Wa Shikumu
@akwayumba10650
ID: 1793690328777601024
23-05-2024 17:08:40
6,6K Tweet
71 Followers
425 Following

The Big Boys of Radio are here to serve you a #TBT edition show like no other π₯π₯ on #Breakfast47! Join Captain Emmanuel Mwashumbe and ALEX MWAKIDEU from now until 10 AM. #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo


Jambo Kenya! Ni Francis Luchivya na Wilbroda (Jacquey Nyaminde) ndani ya Milele Breakfast 6.00am-10.00am Unaskiza ukiwa maeneo gani? #LuchivyaNaWilbrodaMilele




It's a feel-good Friday π₯³π₯³ ndani ya Breakfast 47. Ni vibes juu ya vibes π₯π₯ na The Big Boys of Radio ALEX MWAKIDEU na Captain Emmanuel Mwashumbe #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo




Bwana Yesu asifiwe Mwana Ligi, kumekucha, tumepewa baraka ya uzima na uhai, karibu kwa ibada, pokea uncompromised, undiluted gospel HapaNdipo! Mama Taifa Evah Mwalili Pastor Bonface Makanda #Nuru47Jumapili #HapaNdipo


Napokea! Jessica honore Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #nuru47jumapili #nuru47jumapili


See my Samwel, see what my God has done, it's marvelous, it has come to pass! Nathaniel Bassey Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #nuru47jumapili #nuru47jumapili

Karibisho la Ibada.. Unashiriki service wapi? Wapi church secretaries leo tutambue kazi yao? Hebu taja secretary wa church yako apokee salamu. Mama Taifa Evah Mwalili Pastor Bonface Makanda #Nuru47Jumapili #HapaNdipo


New week, new energy π₯πͺ ndani ya Breakfast 47 with The Big Boys Of Radio Captain Emmanuel Mwashumbe ALEX MWAKIDEU Unasikiliza show ukiwa wapi? #MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo




Mwanaligi leo ni Declaration Tuesday, kumekucha, Karibu tutamke baraka kwa pamoja. Declare prosperity in your life today. Mama Taifa Evah Mwalili #HapaNdipo #NuruNaEvahMwalili



Milele Breakfast! Ungana na Francis Luchivya na Wilbroda (Jacquey Nyaminde) kwa habari na burudani 6.00am-10.00am. Unaskiza kutoka maeneo gani? #LuchivyaNaWilbrodaMilele


Karibu ndani ya Prayer Wednesday naye Mama Taifa Evah Mwalili unaomba Mungu akutendee jambo gani siku ya leo? #HapaNdipo #NuruNaEvahMwalili


Staarabika na Anne Njogu kuanzia saa nne asubuhi hadi saa sita mchana!! #Staarabika #RadioZaidiYaRadio Watch us live on radiomaisha.co.ke
