DOCHA  (@alugandu) 's Twitter Profile
DOCHA 

@alugandu

Digital Marketing || Marketer || Brand promoting || @ManCity || @SimbaSCTanzania || @FCBarcelona||Content creator|| Driver || Ambassador @Pichanzurii

ID: 1249594614543200257

calendar_today13-04-2020 07:06:01

340,340K Tweet

60,60K Followers

7,7K Following

Ray ❤💝❤ (@raycruzy) 's Twitter Profile Photo

Hizi jumla 14000 rejareja 18000 Rangi ziko nyingi 🔥 wahi mapema 🔥 Delivery ✅🚚 mikoani tunatuma WhatsApp or DM 0753103048 Kindly repost 🙏♥️

Hizi jumla 14000 rejareja 18000
Rangi ziko nyingi 🔥 wahi mapema 🔥 
Delivery ✅🚚 mikoani tunatuma WhatsApp or DM 0753103048
Kindly repost 🙏♥️
𝕵𝖆𝖒𝖆𝖆 𝕸𝖚𝖚𝖟𝖆 𝕯𝖆𝖜𝖆 (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, wanafunzi wa Stashahada wamepata mikopo chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu. #TanzaniaYaSamia #MamaYukoKazini #MamaAnafanikisha

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, wanafunzi wa Stashahada wamepata mikopo chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu.

#TanzaniaYaSamia
#MamaYukoKazini
#MamaAnafanikisha
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Shabaha katika sekta ya nishati miaka mitano ijayo. Kuongeza upatikanaji wa nishati safi kwa matumizi ya nyumbani na viwandani. Kuhakikisha kuwa angalau asilimia 50 ya Watanzania wanatumia nishati safi ifikapo mwaka 2030. #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia

misszider (@nyambizider) 's Twitter Profile Photo

POCHI CHAMBUU Pochi zetu za kipekee zinapatikana kwa Tsh 35,000 tu! Material: TOP NOTCH 🔥🔥 Simu yako, hela zako, na kila unachohitaji vikiwa salama na mitoko yako ikikaa smart! 📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0683094746 Or DM #DadaAko♏444 Hurry, stock ni chache! ⏳ #SokoLetu

POCHI CHAMBUU
Pochi zetu za kipekee zinapatikana kwa

 Tsh 35,000 tu! 
Material: TOP NOTCH 🔥🔥

Simu yako, hela zako, na kila unachohitaji vikiwa salama na mitoko yako ikikaa smart!

📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0683094746
Or DM <a href="/Lee_guidotti/">#DadaAko♏444</a>

Hurry, stock ni chache! ⏳
#SokoLetu
Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Kwa niaba ya Management ya #StreetSoul na #JustFit tunawashukuru wateja wote waliotuunga mkono kwenye Yard Sale kuanzia Ijumaa Jumapili. Tunaahidi kuendelea kuwauzia bidhaa bora kama ilivyo Sera yetu. Maduka yetu yataendelea kuwa wazi kama kawaida. Asanteni.

Kwa niaba ya Management  ya #StreetSoul  na #JustFit  tunawashukuru wateja wote waliotuunga mkono kwenye Yard Sale kuanzia Ijumaa Jumapili.

Tunaahidi kuendelea kuwauzia bidhaa bora kama ilivyo Sera yetu.

Maduka yetu yataendelea kuwa wazi kama kawaida.

Asanteni.
Ms Bee🌹 (@mrsdaviee) 's Twitter Profile Photo

HELLO HELLO MATAJIRU ZETU ,MABOSS WA #DadaAko♏444 NEW ARRIVALS🌹🌷🌼🌸🌼🌼 BRAND :ORIGINAL GUESS Bei ya Jumla 50,000tsh FIXED PRICE👌👌 Size 37 had 42📌 FULL BOX🌹 TUPIGIE 0683084746 #SokoLetu

HELLO HELLO MATAJIRU ZETU ,MABOSS WA <a href="/Lee_guidotti/">#DadaAko♏444</a>

NEW ARRIVALS🌹🌷🌼🌸🌼🌼

BRAND :ORIGINAL GUESS

Bei ya Jumla 50,000tsh

FIXED PRICE👌👌

Size 37 had 42📌
  
FULL BOX🌹

TUPIGIE 0683084746
#SokoLetu
NaNaLee_Tz🥀(🇰🇷)낸시♉️ (@mijulee_tz) 's Twitter Profile Photo

🏟 Uwanja wa Samia Suluhu Hassan, Arusha Ujenzi umefikia asilimia 42. Kazi inaendelea. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

🏟 Uwanja wa Samia Suluhu Hassan, Arusha

Ujenzi umefikia asilimia 42. Kazi inaendelea.

#MamaYukoKazini 
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Mabingwa wa Global Impact Transformation (Kikundi cha 1) wamekamilisha mafunzo ya vitendo ya kuwanoa wakufunzi (TOT) katika kutengeneza sabuni ya kufulia, sabuni ya mikono na Jik. Sasa wako tayari kufundisha wenzao na kuimarisha ustahimilivu wa kiuchumi katika ngazi ya jamii. #GITImpact

Mabingwa wa <a href="/globalimpactt/">Global Impact Transformation</a> (Kikundi cha 1) wamekamilisha mafunzo ya vitendo ya kuwanoa wakufunzi (TOT) katika kutengeneza sabuni ya kufulia, sabuni ya mikono na Jik.

Sasa wako tayari kufundisha wenzao na kuimarisha ustahimilivu wa kiuchumi katika ngazi ya jamii.

#GITImpact
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KITUNDA RELINI UNAENDELEA Ujenzi huo unajumuisha vyumba vya madarasa 16, maabara 4, maktaba, chumba cha kompyuta, ofisi 12 za walimu pamoja na nyumba ya walimu. #MamaAnafanikisha #TanzaniaYaSamia

UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KITUNDA RELINI UNAENDELEA 

 Ujenzi huo unajumuisha vyumba vya madarasa 16, maabara 4, maktaba, chumba cha kompyuta, ofisi 12 za walimu pamoja na nyumba ya walimu.

#MamaAnafanikisha
#TanzaniaYaSamia
𝕵𝖆𝖒𝖆𝖆 𝕸𝖚𝖚𝖟𝖆 𝕯𝖆𝖜𝖆 (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐀𝐌𝐄𝐖𝐀𝐅𝐈𝐊𝐈𝐀 𝐌𝐀𝐍𝐘𝐀𝐑𝐀 Sasa usafishaji damu na kipimo cha mfumo wa chakula vinapatikana Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. MAMA analinda afya za wananchi, na kufanya matibabu kuwa nafuu zaidi. #Mamayukokazini #MamaAnafanikisha

𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐀𝐌𝐄𝐖𝐀𝐅𝐈𝐊𝐈𝐀 𝐌𝐀𝐍𝐘𝐀𝐑𝐀 

Sasa usafishaji damu na kipimo cha mfumo wa chakula vinapatikana Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara.

MAMA analinda afya za wananchi, na kufanya matibabu kuwa nafuu zaidi. 

#Mamayukokazini 
#MamaAnafanikisha
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Ukarabati wa Stesheni ya zamani ya reli iliyopo Posta, jijini Dar es Salaam, umefikia asilimia 95, hatua inayoweka matumaini ya kurejea kwa huduma za usafiri wa treni katikati ya jiji. #MamaYukoKazini #MamaAnafanikisha

Ukarabati wa Stesheni ya zamani ya reli iliyopo Posta, jijini Dar es Salaam, umefikia asilimia 95, hatua inayoweka matumaini ya kurejea kwa huduma za usafiri wa treni katikati ya jiji. 

#MamaYukoKazini 
#MamaAnafanikisha
𝕵𝖆𝖒𝖆𝖆 𝕸𝖚𝖚𝖟𝖆 𝕯𝖆𝖜𝖆 (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Wadau wa 𝕏 naomba Repost yenu🙏🏼 Mwanaume unakutana na Changamoto ipi kati ya hizo nilizo post? Naweza kukusaidia na Ukawa fiti Permanent. Nicheck WhatsApp 🔗 👇🏼 wa.me/message/FKJQWC… Call 0752208997

Wadau wa 𝕏 naomba Repost yenu🙏🏼

Mwanaume unakutana na Changamoto ipi kati ya hizo nilizo post? 
Naweza kukusaidia na Ukawa fiti Permanent. 
Nicheck WhatsApp 🔗 👇🏼
wa.me/message/FKJQWC…

Call 0752208997
Sonnino⚡ (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Vinara wa Global Impact Transformation wamehitimisha mafunzo ya vitendo ya kuwawezesha wakufunzi (ToT) katika utengenezaji wa sabuni ya kufulia, sabuni ya mikono na Jik. Sasa wako tayari kuwafundisha wenzao, wakichochea ujasiriamali na kuimarisha ustahimilivu wa kiuchumi katika ngazi ya

Vinara wa <a href="/globalimpactt/">Global Impact Transformation</a> wamehitimisha mafunzo ya vitendo ya kuwawezesha wakufunzi (ToT) katika utengenezaji wa sabuni ya kufulia, sabuni ya mikono na Jik.

Sasa wako tayari kuwafundisha wenzao, wakichochea ujasiriamali na kuimarisha ustahimilivu wa kiuchumi katika ngazi ya