DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile
DktAbbasi

@abbastz2

Formerly: Chief Spokesperson Tanzania. Currently: Permanent Secretary, Ministry of Natural Resources and Tourism.

ID: 1481217259364311040

calendar_today12-01-2022 10:51:41

158 Tweet

227 Followers

15 Following

DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile Photo

Tumetekeleza Tanzania imefikisha watalii milioni 5.3 kwa mwaka 2024 ikiwa ni wa ndani na wa nje. Kazi inarndelea🔥🔥

Tumetekeleza Tanzania imefikisha watalii milioni 5.3 kwa mwaka 2024 ikiwa ni wa ndani na wa nje. Kazi inarndelea🔥🔥
DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa na mmiliki wa Man United Sir Jim Ratcliffe Monaco leo tumejadili kuendeleza uhifadhi nchini Tanzania ambako tayari anafanyakazi kubwa kupitia taasisi yake ya Six Rivers Africa, lakini pia tumeangalia namna ya kuunga mkono juhudi za kuutangaza zaidi utalii wa Tanzania.

Leo Machi 1, 2025, nimekutana na Christina Levis, Mtendaji Mkuu wa moja ya makampuni makubwa ya kusafirisha watalii ya #Abercrombie+Kent #& ambao pia wanamiliki kampuni nyingine kama ile ya meli za kifahari ya Crystal Cruises na kampuni inayosafirisha zaidi watalii kwa makundi ya

Leo Machi 1, 2025, nimekutana na Christina Levis, Mtendaji Mkuu wa moja ya makampuni makubwa ya kusafirisha watalii ya <a href="/abercrombiekent/">#Abercrombie+Kent #&</a> ambao pia wanamiliki kampuni nyingine kama ile ya meli za kifahari ya <a href="/crystalcruises/">Crystal Cruises</a> na kampuni inayosafirisha zaidi watalii kwa makundi ya
DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile Photo

Breaking Tourism and Travel News⛔️⛔️: Dar es Salaam, Tanzania Will Be Hosting the next Africa and Oceanic Gala Dinner of the World Travel Awards in June, 2025. worldtravelawards.com/event/africa-a…

DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Apewa Tuzo ya Mageuzi katika Misitu, Uhifadhi Na Mwandishi Wetu, Njombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya Wizara ya Maliasili na Utalii kutambua mchango wake katika masuala ya uhifadhi wa misitu, mazingira na nishati

Rais Samia Apewa Tuzo ya Mageuzi katika Misitu, Uhifadhi

Na Mwandishi Wetu, Njombe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya Wizara ya Maliasili na Utalii kutambua mchango wake katika masuala ya uhifadhi wa misitu, mazingira na nishati
DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia hapa makala ya Sir Jim Ratcliff bilionea namba 2 UK na mmoja wa mmiliki wa klabu za Man United, UK; Nice FC, Ufaransa na timu ya Marcedes katika Formular One. Hapa utapata utohozi wa tangu alipoingia nchini mpaka anakutana na Rais @samia_suluhu_hassan viongozi wa wizara

DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile Photo

*Mke wa Rais Finland Afanya “Royal Tour” Makumbusho ya Taifa Dar* Na Mwandishi Wetu Mke wa Rais wa Finland, Suzanne Innes-Stubb, leo Jumanne Mei 14, 2025, amefanya “Royal Tour” kwenye Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine alifurahia sana historia ya

*Mke wa Rais Finland Afanya “Royal Tour” Makumbusho ya Taifa Dar*

Na Mwandishi Wetu

Mke wa Rais wa Finland, Suzanne Innes-Stubb, leo Jumanne Mei 14, 2025, amefanya “Royal Tour” kwenye Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine alifurahia sana historia ya
DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile Photo

🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️😀😀🤫

🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️😀😀🤫
DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile Photo

Hatimaye ni leo Juni 28, 2025, Tanzania Hosts the 32nd WTA Africa Gala Ceremony: Tourism Per Excellence! 🇹🇿🇹🇿 instagram.com/p/DLZ7cgQsssY/…

DktAbbasi (@abbastz2) 's Twitter Profile Photo

Nimetembelea leo 77 Dar na kujionea jinsi wananchi walivyohamasika na utalii wa ndani. Karibuni Banda la Maliasili kujionea “mnayoyamiss” kwa kutokwenda mbugani.

Nimetembelea leo 77 Dar na kujionea jinsi wananchi walivyohamasika na utalii wa ndani. Karibuni Banda la Maliasili kujionea “mnayoyamiss” kwa kutokwenda mbugani.