Malembo Farm Academy (@academyfarms) 's Twitter Profile
Malembo Farm Academy

@academyfarms

🌿 Cultivating Bright Futures for Kids & Communities 📚 | Principal at @MalemboFarm HQ 🏫 | Growing Young Minds, One Seed at a Time 🌱 #Education

ID: 1713488742932254720

linkhttp://www.malembofarm.com calendar_today15-10-2023 09:36:16

3,3K Tweet

2,2K Followers

17 Following

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

By 2050, Sub Saharan Africa will have a third of the worlds young people. This calls for more investment in agribusiness opportunities for the young generation.

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Idadi ya watu barani Afrika inakadiriwa kuwa Billion 3 na zaidi ya 60% ya hao wako chini ya miaka 25. Pamoja na ukweli huo, vijana wengi hawana ajira achilia mbali ajira za uhakika.

Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Tafakuri juu ya madhila ya vijana kwenye uchumi na ufumbuzi wake Barani Afrika yanazo pembe kuu nne. âś…Uwajibikaji wa binafsi. âś…Sera za kielimu muafaka. âś…Uchumi jumuishi. âś…Maamuzi ya kisiasa yenye kujali baadaye ya vijana wengi.

Tafakuri juu ya madhila ya vijana kwenye uchumi na ufumbuzi wake Barani Afrika  yanazo pembe kuu nne. 

âś…Uwajibikaji wa binafsi.

âś…Sera za kielimu muafaka.

âś…Uchumi jumuishi.

âś…Maamuzi ya kisiasa yenye kujali baadaye ya vijana wengi.
Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

Natazama mara nyingi nawaona vijana wenzangu waliochukua jukumu la kujitoa kwa ajili ya masilahi ya wengi Mungu awabariki. Msingi ni kuwa njia za kupingania masilahi ya wengine zinatofautiana ila kila mtu anatimiza wajibu wake.