
Action for Democratic Governance (A4DG).
@action4dg
A Non-governmental Organization (00NGO/R/4067) | Visioning to See Justice and Democratic society with people's centred development.
ID: 1224747527586697216
04-02-2020 17:32:45
394 Tweet
297 Followers
216 Following







Jambo..! Fahamu kuhusu kituo na Muda wa Kujiandikisha wakati huu wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Jitokeze Kujiandikisha Sasa..! #Action4DGTz | #DemokrasiaMtaani | #SisiNiDemokrasia | #JitokezeKujiandikisha2025 | Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi








Jambo..! Ilikuwa ni tajamala sana kuwa na Kijana mwenzetu Idd Mkanza ambaye ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Majadiliano ya Vijana chini ya TCD. Hizi hapa ni sehemu ya nukuu wakati wa mdahalo wetu juu ya Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za mwaka 2025. #Action4DGTz | #SisiNiDwmokrasia



#LetsTalkGovernance “Zoezi la Kupiga Kura daima huonekana kuwa ni zoezi la siku moja lakini Mchakato wa kuwafanya Wapiga Kura washiriki kikamilifu huanzia na kuwajengea uelewa juu ya masuala yao ya Kiraia” ~Nyangubu Yessy #Action4DGTz | #DemokrasiaMtaani | #SisiNiDemokrasia


“Kanuni za Maadili ya Uchaguzi (2025) zimetambua Mamlaka za Serikali, Vyama vya Siasa na Tume ya Uchaguzi kama Wadau wakuu katika Utekelezaji wake. Ipo haja ya Kanuni zijazo Kuongeza Asasi za Kiraia kama Wadau wakuu…” ~ Caliph Makwita #Action4DGTz | #SisiNiDemokrasia


