
Ado Shaibu
@adoshaibu
Secretary General, Alliance for Change & Transparency (ACT Wazalendo)
ID: 594493764
https://www.actwazalendo.or.tz/ 30-05-2012 08:10:05
28,28K Tweet
65,65K Followers
1,1K Following

Leo Julai 6, 2025 KC Dorothy Semu amezindua Ofisi za ACTWazalendo Mkoa Shinyanga. Ofisi hizo zina Ukumbi wa Zitto Kabwe. Ukumbi huo umepewa jina hilo ili kuenzi kujitoa kwa KC wa Zamani Zitto MwamiRuyagwa Kabwe katika ujenzi wa chama. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Msafara wa KC wa Zamani, Zitto MwamiRuyagwa Kabwe leo Julai 7, 2025 unaingia Mkoa wa Ruvuma. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo ...





Ukumbi wa Zitto Kabwe sasa upo rasmi ndani ya ofisi mpya za kisasa za ACTWazalendo Shinyanga, umepewa jina hilo na wanaShinyanga ili kuenzi mchango mkubwa wa Mhe. Zitto MwamiRuyagwa Kabwe katika kutetea wananchi wa Shinyanga, hasa kwenye sakata la madini (Buzwagi -July 2007) na maendeleo


NTOBI ACTWazalendo Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Kazi unaiweza kwa kweli hongera sana.



Katibu Mkuu wa ACTWazalendo Ndugu Ado Shaibu ameitaka Tume Huru ya Uchaguzi nchini kuongeza uwazi katika mchakato wa uzalishaji, usafirishaji na uhifadhi wa vifaa vya uchaguzi hasa karatasi za kupigia kura ili kuongeza imani ya wadau wa uchaguzi. Ndugu Ado Shaibu ametoa rai





Sisi tulipokua tunasema nyinyi Chadema Tanzania sio chama cha watanzania wote wala shida zenu sio shida za vyama vyote vijana wenu walikuja na matusi Haya pambaneni na ACTWazalendo



Leo Julai 8, 2025 Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu ameshiriki kama mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kigamboni ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Operesheni Majimaji inayolenga kuwahamasisha wanachama na wananchi kupiga na kulinda kura kwenye Uchaguzi Mkuu


📌KIGAMBONI Leo Julai 8, 2025 Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu ameshiriki kama mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kigamboni ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Operesheni Majimaji inayolenga kuwahamasisha wanachama na wananchi kupiga na kulinda kura kwenye


OPERESHENI MAJIMAJI OKTOBA #LindaKura 📍Kigamboni, Dar es salaam. 08/07/2025. ACTWazalendo Ado Shaibu #TheFutureIsPurple #TheFutureIsACTwazalendo


