Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile
Adui Wa Yanga

@aduiwayanga

MATANGAZO KWA BEI YA PUNGUZO NJOO DM

Die fan for @SimbaSCTanzania and @ChelseaFC

Gracias💕💕💕

ID: 1423717477758947334

calendar_today06-08-2021 18:48:03

119,119K Tweet

232,232K Followers

398 Following

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Ahsanteni Meatu. Upendo wenu kwa Mama umeonekana. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

#TikiKwaSamia

Ahsanteni Meatu.

Upendo wenu kwa Mama umeonekana.

#MamaYukoKazini
#TikiKwaSamia
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

Hakuna wa kuweza kuutenganisha upendo wa Watanzania kwa Mama Samia mapenzi ya Watanzania kwake ni ya dhati, ya kweli, na yanazidi kuongezeka kila uchao. Bila shaka, Rais wetu anapendwa kupita maelezo. Aisee, huyu Kiongozi ni hazina ya taifa. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Hakuna wa kuweza kuutenganisha upendo wa Watanzania kwa Mama Samia mapenzi ya Watanzania kwake ni ya dhati, ya kweli, na yanazidi kuongezeka kila uchao. Bila shaka, Rais wetu anapendwa kupita maelezo. Aisee, huyu Kiongozi ni hazina ya taifa.
#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
Rashda Zunde (@rashdazunde) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Rais Samia: Oktobaaaa Wananchi wa Itilima: Tuna tiki kwa Samia #mamayukokazini #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele

MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin) 's Twitter Profile Photo

Bado Serikali imezidi kuweka nguvu kubwa kuhakikisha Wananchi Wanapata maji safi na Salama nazani na hili Watalifanyia kazi na Wananchi wa maeneo haya Watapa maji yasiyo na chumvi. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

𝑫𝒓.𝑯𝒊𝒍𝒂𝒓𝒚 𝒘𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂𝕏 (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aleta faraja kwa Meatu, akiahidi maji safi na salama kupitia mradi wa Ziwa Victoria. Serikali sikivu inayojali maisha ya kila Mtanzania. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akfungua Hospitali ya Wilaya ya Itilima katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akfungua Hospitali ya Wilaya ya Itilima katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.
Mwita C. Mwita (@mwitah_tz) 's Twitter Profile Photo

Tanzania will officially launch the ITRACOM Fertilizers plant in Nala, Dodoma on 28 June 2025, with President Samia Suluhu Hassan officiating the ceremony The plant, which is already operational, is the country’s second fertilizer manufacturing facility and the largest in East

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi. Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. Katika kipindi

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi.

Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. 

Katika kipindi
KIRIKUU✏️ (@kirikuu20) 's Twitter Profile Photo

Code 🔫HDVZ7 Odds 4.5 Site Paripesa 👉🏿Tukutane kwa wakala Jisajili PARIPESA 👉paripesa.bet/kirikuu Promo code jaza 👉KIRI Upewe bonus yako ya first deposit

Code 🔫HDVZ7
Odds 4.5
Site Paripesa
👉🏿Tukutane kwa wakala

Jisajili PARIPESA
👉paripesa.bet/kirikuu
Promo code jaza 👉KIRI

Upewe bonus yako ya first deposit
𝑫𝒓.𝑯𝒊𝒍𝒂𝒓𝒚 𝒘𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂𝕏 (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia yawekeza bilioni 23 kuboresha elimu Meatu—zaidi ya wanafunzi 12,000 wajiunga mwaka huu! Elimu bila ada, fursa bila vizingiti. 📚🇹🇿 #KaziNaUtu #TunasongaMbele

 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™ (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA SIMIYU Shule hiyo imejengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 4. Shule hii ni miongoni mwa shule 26 zinazojengwa katika mikoa yote. #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #MamaAnafanikisha

SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA SIMIYU 

Shule hiyo imejengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 4.

Shule hii ni miongoni mwa shule 26 zinazojengwa katika mikoa yote.

#TikiKwaSamia
#MamaYukoKazini 
#MamaAnafanikisha
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akfungua Hospitali ya Wilaya ya Itilima katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akfungua Hospitali ya Wilaya ya Itilima katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya Wananchi wa Itilima waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya mabasi tarehe 17 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Itilima katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Itilima katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.