Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile
Deogratias Mahinyila

@advmahinyila

National Chairperson-CHADEMA Youth Wing.

Advocate of High Court| Notary Public and Commissioner for Oaths.

ID: 3803416342

calendar_today28-09-2015 11:49:45

1,1K Tweet

14,14K Followers

656 Following

Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile Photo

Kwa wavivu wa kuelewa na wanaochelewa kung'amua mambo. Bi Mkubwa hapo anasema; Kwa wanaosema OKTOBA TUNATIKI, ni kwamba hawana akili, hawajielewi na mafala sana. Sababu kuu ni kwamba hata WASIPOTIKI bado nani kama MAMA atashinda. Wasijidanganye na matiki yao. AKILI MTU WANGU.

Leo jioni limefanyika kongamano kubwa la kukihami chama katika jimbo la kilolo, mkoa wa Iringa. Kongamano hilo limeongozwa na Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Dua Lyamzito Hakuna kulala mpaka kielewekee. *#NoReformsNoElection*

Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile Photo

Habari za akina Mkojani,Mkali wenu, Hamorapa and the like; kuchukua fomu huko mbogamboga ni mkakati mpya wa kutaka umma uwajadili. MaCCM yanafurahia hata kupata Dakika 5 watanzania kujadili ujinga wowote. Wanaogopa hawapendi mjadala wa NO REFORMS: NO ELECTION. Tupuuze MAUJINGA.

Tukutane hapo baadae. Tutajadili mambo kinagaubaga. Hasahasa hili la NRNE tutalazimika kulijadili. Hakuna njia nyingine tofauti. Tutakuwepo.

Madai. Sitaki wagombea wangu waenguliwe. Kabla hujajua dai hilo limetekelezwa au halitekelezeki. Mkakati unaouza: Nitalinda kura. Je, wagombea wako wakienguliwa kama ambavyo madai yako yanasema. Utalinda nini? No Reforms: No Election ni kama MAJI usipoyanywa basi UTAYAOGA.

Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Geita vijini #MbeshiPaulo Ametekwa, Jana ilikuja Gari ikambeba na kujatambulisha kuwa ni Askari Polisi, mpaka leo familia haijui alipo Ikumbukwe Bw. Mbeshi amekuwa mkosoaji mkubwa Wa serikali hii.Hii hali haivumiliki haivumiliki haivumiliki.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) Taifa Official Bavicha Taifa , Wakili Deogratius Mahinyila, ameungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika kata ya Gongo la Mboto, wilayani Ilala, mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya dua maalum

Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile Photo

Nimejumuika na wanachama wenzangu wa Chadema Kata ya Gongolamboto na Jimbo la Ukonga katika Dua ya kukiombea Chama chetu na pia kumuombea Mwenyekiti wa Chama chetu Taifa, Tundu Lissu. Baada ya Dua tumekutana hapa kijiwe maarufu cha UKAWA SQUARE kujadili mambo yahusuyo taifa letu.

Official Bavicha Taifa (@bavicha_taifa) 's Twitter Profile Photo

youtu.be/LbVxA88hhDg?si… "Wao wanapopanga mipango Yao na MUNGU pia anapanga yake,huu sio unyonge"amezungumza mwenyekiti wa BAVICHA taifa Deogratias Mahinyila Leo aliposhiriki Dua ya kumuombea mwenyekiti wetu Mh Lissu pamoja na chama.

Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

Jana 26/7 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila akizungumza mara baada ya Dua Maalum ambayo imefanyika kwa ajili ya kumuombea Mwenyekiti Chadema Taifa, Mh. Tundu Lissu

Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile Photo

Nimeamini kumbe kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake. Mungu ni mwema. Tutaendelea kushuhudia na kuona mengi sana. Alu muwaha kwima ule? Sejelesejele yo mijendele. Ni busara tungeimba wimbo wa #NorefomsNoelection wote kwa pamoja.