Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile
Adventure-360

@adventure_36

Lawyer, Human Rights Activists,
@simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌

ID: 1230927069284048898

linkhttps://linktr.ee/Adventure_360 calendar_today21-02-2020 18:48:12

614,614K Tweet

176,176K Followers

1,1K Following

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Jumapili hii Fainali ya Pili Kombe la Shirikisho uku Simba watawakaribisha RS BERKANE muda saa 10:00 jioni. Kwa Kifurushi chako cha BOMBA kwa shilingi 27,000 tu ndani ya DStv (TZ) unapata nafasi ya kuangalia mechi hii , Piga *150*53# kulipia #MbungiLaFinali #MbungiBampa2Bampa

Jumapili hii Fainali ya Pili Kombe la Shirikisho uku Simba watawakaribisha RS BERKANE muda saa 10:00 jioni. 

Kwa Kifurushi chako cha BOMBA kwa shilingi 27,000 tu ndani ya <a href="/DStv_Tz/">DStv (TZ)</a> unapata nafasi ya kuangalia mechi hii ,

Piga *150*53# kulipia #MbungiLaFinali #MbungiBampa2Bampa
Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Jumapili hii Big Match kibao na zote sio za kukosa, Uhondo wote huu utaupata ndani ya Kifurushi chako cha COMPACT kwa shilingi 67,000 tu ndani ya DStv (TZ). Piga *150*53# kulipia #MbungiLaFinali #MbungiBampa2Bampa

Jumapili hii Big Match kibao na zote sio za kukosa,

Uhondo wote huu utaupata ndani ya Kifurushi chako cha COMPACT kwa shilingi 67,000 tu ndani ya <a href="/DStv_Tz/">DStv (TZ)</a>. 

Piga *150*53# kulipia

 #MbungiLaFinali #MbungiBampa2Bampa
MAIPAMBO JR (@maipambomteta) 's Twitter Profile Photo

Kuna workshop manager mmoja kaletwa hapa kazini sasa anaongea american english.kanikuta nina strees zangu,kaniongelesha kama dakika 8 hivi,kumbe mwenzake nishapotea kitambo sana,ile amemaliza, kaniuliza umeelewa?nime mwambi anzia katikati ya story urudi nyuma siku elewa vizuri.😎

MARLEY (@funjojr) 's Twitter Profile Photo

Wana-Daslama kesho akikosa mtoto ni mtoto wako peke yake, mlete bhana, ajifunze-awe wa kisasa. Maonesho ya Shule za Kimataifa pale Serena Hotel. Hakuna kiingilio. Kipi ni kisingizio cha kutokufika? #ISEFinDAR #QualityGlobalEducation

Wana-Daslama kesho akikosa mtoto ni mtoto wako peke yake, mlete bhana, ajifunze-awe wa kisasa.

Maonesho ya Shule za Kimataifa pale Serena Hotel. 

Hakuna kiingilio. Kipi ni kisingizio cha kutokufika? 

#ISEFinDAR #QualityGlobalEducation
Sean 🎖️ (@iboysean) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Wazazi wa kizazi kipya: “Tunatafuta shule yenye robotics, coding, na chess club” 🤓 International Schools & Education Fairs Africa inawaleta shule zote hizo Dar kupitia Maonyesho ya Shule za Kimataifa. Tukutane Jumamosi Mei 24 – Serana Hotel. Hakuna kiingilio. #ISEFinDAR #QualityGlobalEducation

Wazazi wa kizazi kipya: “Tunatafuta shule yenye robotics, coding, na chess club” 🤓
<a href="/isefafrica/">International Schools & Education Fairs Africa</a> inawaleta shule zote hizo Dar kupitia Maonyesho ya Shule za Kimataifa.

Tukutane Jumamosi Mei 24 – Serana Hotel.

Hakuna kiingilio. 

#ISEFinDAR #QualityGlobalEducation
Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Mafia Boxing mdogo mdogo wanakuja kusepa na kijiji kwenye mchezo wa Boxing. Watoto wa Kibaha Maili moja saiv kesho bondia wao wanapigana. Jamaa anaitwa Rolen atapigana na Mganda.

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Bondia anapambana kesho alafu mpk saiv hajafika. Mwalimu wa bondia huyo anasema amechanganya ndege kwahyo atafika leo usiku sana. Aisee

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Wimbo bora wa injili wa mwaka kwenye Tuzo za Gospel Music Awards ni wimbo wa "Nikurejeshee" kutoka Neema Gospel Choir Hawa watu wamestaili 🙌