Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile
Jebra Kambole

@advocate_jebra

Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032

ID: 2890375486

linkhttp://www.lawguards.co.tz calendar_today24-11-2014 06:35:13

17,17K Tweet

349,349K Followers

301 Following

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Tulikuwa na SC Mpale Mpoki tukapitia kanuni za maadili za uchaguzi tukagundua zinamapungufu makubwa sana ya kiutaratibu na kimantiki! Tumechukua hatua ya kwenda mahakamani ili tuone INEC imetunga kanuni za maadili kwa usahihi? Kumbusho Dawson Kagine na Bubelwa Kaiza ndio waleta maombi!

Tulikuwa na SC <a href="/MpaleMpoki/">Mpale Mpoki</a> tukapitia kanuni za maadili za uchaguzi tukagundua zinamapungufu makubwa sana ya kiutaratibu na kimantiki! Tumechukua hatua ya kwenda mahakamani ili tuone INEC imetunga kanuni za maadili kwa usahihi? <a href="/KumbushoDawson/">Kumbusho Dawson Kagine</a> na Bubelwa Kaiza ndio waleta maombi!
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu anaokota kwa siku hapo lazima wamuwekee fungu lake au fungu lao! Hela wanachota huku wanapeleka Uarabuni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa mjinga ni mjinga tu! Hata upewe cheo gani akili haziongezeki! Na ubaya wa ujinga muda wowote unachochora unakuaibisha tena mbele za watu! Ujinga unamwagika pwaaaaaa!!!

Ukiwa mjinga ni mjinga tu! Hata upewe cheo gani akili haziongezeki! Na ubaya wa ujinga muda wowote unachochora unakuaibisha tena mbele za watu! Ujinga unamwagika pwaaaaaa!!!
Moyo wa TAIFA ℒ️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Kwenye #SiasaZetu amesogezwa Jebra Kambole huku agenda ikiwa faida na hasara za mikataba ya kimataifa kwa taifa. Hii episode leo itapandishwa YouTube youtu.be/v5D4fIu4ObQ. SiasaZetu

𝗣 𝗔 𝗕 π—Ÿ 𝗒 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Tupo hewani sasa kwenye #SiasaZetu! πŸŸ’πŸŽ™οΈ Mjadala mkali unaendelea LIVE na mgeni wetu Jebra Kambole Karibu usikilize ndondo safi kabisa mambo yanachambuliwa kwa lugha nyepesi lakini yenye uzito mkubwa. πŸŽ₯ Tazama live hapa πŸ‘‰πŸ½ youtu.be/v5D4fIu4ObQ #SiasaZetu SiasaZetu

Tupo hewani sasa kwenye #SiasaZetu! πŸŸ’πŸŽ™οΈ

Mjadala mkali unaendelea LIVE na mgeni wetu <a href="/Advocate_Jebra/">Jebra Kambole</a>

Karibu usikilize ndondo safi kabisa mambo yanachambuliwa kwa lugha nyepesi lakini yenye uzito mkubwa.

πŸŽ₯ Tazama live hapa  πŸ‘‰πŸ½ youtu.be/v5D4fIu4ObQ

#SiasaZetu <a href="/ZetuSiasa/">SiasaZetu</a>
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Mboga Mboga wanadhani kuna hela unaweza ukatoa ukapendwa na watz wote haiwezekani!!! Au kuna hela unaweza ukatoa ukaweza kununua movement kama ya NRNE kama IG wanavyokiwasha huwezi!!! Huwezi kupendwa kwa kumwaga damu kama za Mzee Ally Kibao

Mboga Mboga wanadhani kuna hela unaweza ukatoa ukapendwa na watz wote haiwezekani!!! Au kuna hela unaweza ukatoa ukaweza kununua movement kama ya NRNE kama IG wanavyokiwasha huwezi!!! 

Huwezi kupendwa kwa kumwaga damu kama za Mzee Ally Kibao
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Ibara ya 21 ya Katiba hii ingeheshimiwa tungekuwa na uchaguzi huru maana katiba inatoa haki kwa wananchi kushiriki kwenye utawala wa nchi ama moja kwa moja au kupitia wawakilishi waliochaguliwa na wananchi kwa hiari yao! Jambo la msingi hiari yao! Bila reform hakuna hiari!

Ibara ya 21 ya Katiba hii ingeheshimiwa tungekuwa na uchaguzi huru maana katiba inatoa haki kwa wananchi kushiriki kwenye utawala wa nchi ama moja kwa moja au kupitia wawakilishi waliochaguliwa na wananchi kwa hiari yao!

Jambo la msingi hiari yao! Bila reform hakuna hiari!
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Msingi wa Uchaguzi Bora ni Sheria zinazohakikisha kura zinaenda kwa mtu sahihi, hakuna wizi sio kura za polisi za kwenye vibegi!!!

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Mtu anauliza Mbona sisiem wachache lakini wanatuongoza tulio wengi?, Mbona mkoloni alituongoza wakati wao walikuwa wachache? Ogopa mtu akishika dola, anafanya analotaka! Tunahitaji kutoka hapa ili watu waliosahihi ndo waongoze taifa hili! Huku wanajua wakizingua tunakula kichwa.