
Paul Kisabo
@advocate_kisabo
Advocate~ Nimble Person ~ Human Rights Defender ~Justice Ambassador
ID: 847143416727322626
http://www.thrdc.or.tz 29-03-2017 17:48:24
1,1K Tweet
11,11K Followers
179 Following

Polisi muachieni Tundu Antiphas Lissu amekuwa akifanya kazi ya kuwatetea nyie pamoja na wananchi, anatakiwa aendelee na kazi ya kuwatetea kupitia mikutano ya hadhara inayoendelea. Kufanya mikutano ya hadhara ni haki na haistahili kuzuiwa kwa kukamata viongozi.





Mhe. Tundu Antiphas Lissu ashtakiwa kwa uhaini, hili ni kosa ambalo halina dhamana. Strongtogether, hili nalo litapita




Jumuiya za mawakili kanda ya Afrika na kimataifa zimelaani kukamatwa na kushtakiwa kwa uhaini kwa Mhe. Tundu Antiphas Lissu kwa mashtaka ya kupikwa ya uhaini, shambulio dhidi ya wakili Lissu ni shambulio dhidi ya demokrasia.

