Geronimo Pratt (@agumwalwayo) 's Twitter Profile
Geronimo Pratt

@agumwalwayo

Survival of the fittest is the order of the day

ID: 2885336549

calendar_today20-11-2014 06:08:37

18,18K Tweet

760 Followers

1,1K Following

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

"๐— ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐— ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚ ๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—บ๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜‡๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜†๐—ฒ๐˜๐˜‚."-๐— ๐—ต๐—ฒ. ๐—ฅ๐—ฎ๐—ถ๐˜€ ๐——๐—ธ๐˜. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongambele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Moker ๐Ÿ‘๏ธ (@moker___) 's Twitter Profile Photo

"Misingi ya amani huanza kwenye mioyo ya watu wa Mungu. Tukiwa na maombi, mshikamano na maadili, basi maendeleo ya kweli yatawezekana." โ€” Mhe. Rais Samia

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya ย KufunguaKanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam.

Geronimo Pratt (@agumwalwayo) 's Twitter Profile Photo

Bi mkubwa kwenye kuajiri ameupiga Mwingi mnyonge haki yake Mpeni kuna dogo najua Kapata Ualimu na shule Pia kajenga za kutosha

๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaaga kwa kuwapungia mkono Waumini wa Kanisa la Arise and Shine mara baada ya kuhitimisha halfla ya ufunguzi wa kanisa hilo lililopo Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 5 Julai, 2025.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1962 Chama cha Ukombozi wa Comoro (MOLINACO) kilianzishwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua za awali za kupigania uhuru wa nchi hiyo. Leo nimepata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Comoro. Hakika, ni jambo la kujivunia kuona mchango

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeendelea na kikao chake leo kwa ajili ya kukamilisha zoezi la kupitia na kupitisha majina ya watia nia yatakayorudishwa majimboni kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeendelea na kikao chake leo kwa ajili ya kukamilisha zoezi la kupitia na kupitisha majina ya watia nia yatakayorudishwa majimboni kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni.
Geronimo Pratt (@agumwalwayo) 's Twitter Profile Photo

Kuna kipindi maisha yanaweza kukupeleka Less ukakata tamaa. Au kuhisi kufa my Friend hutakufa ufe umwachie nani matatizo yako?

Geronimo Pratt (@agumwalwayo) 's Twitter Profile Photo

Ally B yule dj alikua na idea nzuri sana Sema akaifanya kihuni sana hapo ndo umuhimu wa shule unaonekana. Now angekua billionaire.