Mbunge wa Kongwa 2030 (@andersonmbalai) 's Twitter Profile
Mbunge wa Kongwa 2030

@andersonmbalai

@YangaSc
@Arsenal
@CCM

ID: 796401818024771584

calendar_today09-11-2016 17:19:24

6,6K Tweet

3,3K Followers

5,5K Following

Exquisite (@exquisite254) 's Twitter Profile Photo

Kabla ujazaliwa ulikuwa na uhuru wako, ila baada ya kuzaliwa ukakutana na sheria zilizokupangia jinsi ya kuishi Na ukaambiwa ufate sheria hizo bila ya kuuliza wala kubisha. Watu wengi kwenye hii dunia huwa wanadhani wako huru, ila ukweli ni kwamba….. Read more πŸ‘‡

Kabla ujazaliwa ulikuwa na uhuru wako,  ila baada ya kuzaliwa ukakutana na sheria zilizokupangia jinsi ya kuishi

Na ukaambiwa ufate sheria hizo bila ya kuuliza wala kubisha.

Watu wengi kwenye hii dunia huwa wanadhani  wako huru,  ila ukweli ni kwamba…..

Read more πŸ‘‡
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Kuna baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamiii wanadai kuwa baada ya Mc Pilipili kumuoa Cute Mena ndipo aliposaini rasmi mkataba wa anguko lake na nyota yake ya umaarufu ikaanza kufubaa. Hivi mnadhani kuna ukweli wowote hapo..????

Kuna baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamiii wanadai kuwa baada ya Mc Pilipili kumuoa Cute Mena ndipo aliposaini rasmi mkataba wa anguko lake na nyota yake ya umaarufu  ikaanza kufubaa.

Hivi mnadhani kuna ukweli wowote hapo..????
The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Wapenzi wa Jeans, naomba repost yako hapaπŸ‘Š Jeans quality ya hali ya juu πŸ™ŒπŸ½ Size zote zipo πŸ‘ Fixed price 35K πŸ“ž0623533526

Wapenzi wa Jeans, naomba repost yako hapaπŸ‘Š

Jeans quality ya hali ya juu πŸ™ŒπŸ½

Size zote zipo πŸ‘

Fixed price 35K

πŸ“ž0623533526
SIR JEFFβš‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Muungwana to muungwana Muungwana akikosea, mchane kwa heshima Siri za muungwana ni kama siri zako Usitafute credits/sifa kwa dem wa muungwana Usimkatae muungwana wakati wa shida Usimdhalilishe muungwana kwa kisingizio cha utani Muungwana hukubali makosa yake kiume ONGEZA..

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 38 kutoka Nchini Uingereza, amefariki dunia baada ya kupata matatizo ya kiafya yaliyotokea ghafla wakati akijiandaa kufanyiwa upasuaji wa kupandikiza nywele katika kliniki moja iliyopo Istanbul, Uturuki. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 38 kutoka Nchini Uingereza, amefariki dunia baada ya kupata matatizo ya kiafya yaliyotokea ghafla wakati akijiandaa kufanyiwa upasuaji wa kupandikiza nywele katika kliniki moja iliyopo Istanbul, Uturuki.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na
Ms Bee🌹 (@mrsdaviee) 's Twitter Profile Photo

Unapofikiria kununua gari jipya au lililotumika vizuri, usisite kutushirikisha Empire Motors TZ tutasimama nawe kila hatua, kwa uaminifu na uwazi. WhatsApp/Call: +255 793 854 488 Mlimani City – Near Mlimani Tower, Dar es Salaam IG | TikTok | Facebook | X β†’ Empire Motors TZ

Unapofikiria kununua gari jipya au lililotumika vizuri, usisite kutushirikisha <a href="/empiremotorstz/">Empire Motors TZ</a> tutasimama nawe kila hatua, kwa uaminifu na uwazi.

WhatsApp/Call: +255 793 854 488
Mlimani City – Near Mlimani Tower, Dar es Salaam

IG | TikTok | Facebook | X β†’ <a href="/empiremotorstz/">Empire Motors TZ</a>