Angellah Kairuki (@angellahkairuki) 's Twitter Profile
Angellah Kairuki

@angellahkairuki

Advisor to the President of the URT

ID: 619374026

linkhttps://www.maliasili.go.tz calendar_today26-06-2012 19:57:33

1,1K Tweet

53,53K Followers

4,4K Following

African Development Bank Group (@afdb_group) 's Twitter Profile Photo

Tanzania's President Dr. Samia Suluhu welcomes fellow African leaders, delegates and partners to the #Mission300 Africa Energy Summit 2025 to be held from 27 - 28 January, 2025, in Dar es Salaam, #Tanzania. 🇹🇿 #PoweringAfrica #PoweringTanzania ⚡️

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo Jijini Dar es Salaam, kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, nimepokea Tuzo ya The GoalKeepers Award inayotolewa na Taasisi ya Gates Foundation. Tuzo hii ni heshima kubwa kwetu Watanzania kwani mbali na sisi kufurahia matunda ya hatua kubwa tunazoendelea kupiga katika sekta ya

Mapema leo Jijini Dar es Salaam, kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, nimepokea Tuzo ya The GoalKeepers Award inayotolewa na Taasisi ya Gates Foundation.

Tuzo hii ni heshima kubwa kwetu Watanzania kwani mbali na sisi kufurahia matunda ya hatua kubwa tunazoendelea kupiga katika sekta ya
Angellah Kairuki (@angellahkairuki) 's Twitter Profile Photo

Happy Women’s Day 2025- Let us celebrate the achievements of women globally and continue to advocate for equality, empowerment, and opportunity for all. Together, we can create a brighter, more inclusive future! #IWD2025 #GenerationEquality

URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

Dkt. Biteko amesema kuwa, Wizara ya Nishati iko tayari kukuza ushirikiano na Taasisi hiyo ili kuunganisha juhudi za matumizi ya nishati safi ya kupikia hususan maeneo ya Vijijini. Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa Kimataifa kuhusu upatikanaji wa Nishati

TANZANIA YAING’ARISHA MIRADI YA REA KIMATAIFA Imeelezwa kuwa, utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati safi ya kupikia vijijini umeiwezesha Tanzania kung’ara katika Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani (CSW 69) unaofanyika jijini New York, nchini Marekani

TANZANIA YAING’ARISHA MIRADI YA REA KIMATAIFA

Imeelezwa kuwa, utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati safi ya kupikia vijijini umeiwezesha Tanzania kung’ara katika Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani (CSW 69) unaofanyika jijini New York, nchini Marekani
UN Women Tanzania (@unwomentanzania) 's Twitter Profile Photo

On the sidelines of #CSW69, UN Women DED Nyaradzai Gumbonzvanda met Hon. Angellah Kairuki, Chair of the #GenerationEquality National Advisory Committee, to discuss Tanzania's progress on economic justice, rights & clean cooking initiatives. UN Women remains committed to

On the sidelines of #CSW69, UN Women DED Nyaradzai Gumbonzvanda met Hon. Angellah Kairuki, Chair of the #GenerationEquality National Advisory Committee, to discuss Tanzania's progress on economic justice, rights & clean cooking initiatives.

UN Women remains committed to
UNDP Africa (@undpafrica) 's Twitter Profile Photo

Women are leading change across Africa and we’re backing them with bold support. Just kicked off Day 1️⃣ of our workshop to co-design the Africa Facility for Women in Political Leadership, w/ AWLNetwork & African Union

Women are leading change across Africa and we’re backing them with bold support.

Just kicked off Day 1️⃣ of our workshop to co-design the Africa Facility for Women in Political Leadership, w/ AWLNetwork & African Union
AWLNetwork (@awlnetwork) 's Twitter Profile Photo

📍#Happeningnow | The Africa Facility for Women in Political Leadership Co-Design Workshop kicks off in Addis Ababa! UNDP Africa , African Union , & AWLNetwork join forces to shape strategies that drive women’s political participation & leadership across Africa. #AfFWPL

📍#Happeningnow | The Africa Facility for Women in Political Leadership Co-Design Workshop kicks off in Addis Ababa!
UNDP Africa , African Union , & AWLNetwork join forces to shape strategies that drive women’s political participation & leadership across Africa. #AfFWPL
AWLNetwork (@awlnetwork) 's Twitter Profile Photo

Facilitating the breakout session on the Theory of Change, Fatou Sombie invited participants to propose innovative ideas aimed at bridging the gap and driving meaningful change for women political leaders. #AfFWPL #GenderEquality #WomenLeadPolitics

Facilitating the breakout session on the Theory of Change, Fatou Sombie invited participants to propose innovative ideas aimed at bridging the gap and driving meaningful change for women political leaders. #AfFWPL #GenderEquality #WomenLeadPolitics
UNDP Africa (@undpafrica) 's Twitter Profile Photo

On Day 2️⃣ of our Africa Facility for Women in Political Leadership workshop, we discussed the need to support women by: ✅ Addressing structural barriers ✅ Creating an enabling environment ✅ Providing strategic mentorship ✅ Improving data w/ AWLNetwork African Union

On Day 2️⃣ of our Africa Facility for Women in Political Leadership workshop, we discussed the need to support women by:

✅ Addressing structural barriers
✅ Creating an enabling environment
✅ Providing strategic mentorship
✅ Improving data

w/ AWLNetwork African Union
AWLNetwork (@awlnetwork) 's Twitter Profile Photo

#HappeningNow Day 2⃣ of the Africa Facility for Women in Political Leadership workshop is all about action: selecting beneficiaries, shaping implementation strategies, sharing lived experiences, and building consensus. The path to stronger political leadership for African women

During the Day 2 experience-sharing session, Hon. Angela Kairuki emphasized the need to prioritize campaign strategy training and gender-responsive budgeting within the Facility. Her call: equip women to lead, and fund that leadership fairly. #AfFWPL #SheLeadsPolitics

During the Day 2 experience-sharing session, Hon. Angela Kairuki emphasized the need to prioritize campaign strategy training and gender-responsive budgeting within the Facility. Her call: equip women to lead, and fund that leadership fairly.
#AfFWPL #SheLeadsPolitics
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Jezi ya Timu ya mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza iliyosainiwa na Wachezaji wa Timu hiyo kutoka kwa Mmiliki wa Klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe

Dodoma_Zone (@dodoma_zone_) 's Twitter Profile Photo

Mshauri wa Rais, Mhe. Angellah Kairuki (Mb.) akiteta jambo na Mama Gueta Selemane Chapo, Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Chapo aliposhiriki mapokezi ya Rais huyo aliyewasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu leo Mei 7, 2025.

Abertus Paschal 🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍AAKIA, Zanzibar✈️ 🇹🇿🇲🇿 ▪️RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe Presidente Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi. Akiwasili Uwanja wa Ndege wa

📍AAKIA, Zanzibar✈️

▪️RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe Presidente Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi.

Akiwasili Uwanja wa Ndege wa
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍AAKIA, Zanzibar✈️ Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Kombo (Mb.) akiwa na Mhe. Angellah Kairuki (Mb.), Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walipompokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Chapo katika Uwanja wa Ndege wa

📍AAKIA, Zanzibar✈️

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Kombo (Mb.) akiwa na Mhe. Angellah Kairuki (Mb.), Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walipompokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Chapo katika Uwanja wa Ndege wa