Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile
Anna Tibaijuka

@annatibaijuka

Retired 1. UN Under Secretary General & 2. Executive Director UNHABITAT 3. Tanzanian MP and Minister.

ID: 373853455

linkhttp://annatibaijuka.org calendar_today15-09-2011 08:55:35

460 Tweet

37,37K Followers

30 Following

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mzee CLEOPA MSUYA: KWAHERI WAZIRI MKUU MLEZI, MSOMI, MZALENDO NA MWENYE MAONO NA BUSARA. Ni jukumu letu tuliokujua kutoa ushuhuda kwa faida ya vijana na vizazi vijavyo na kwa faraja ya familia yako pendwa, kusikia unavyoacha alama zisizo futika kama kiongozi, na mtaalamu wa

Mzee CLEOPA MSUYA: KWAHERI WAZIRI MKUU MLEZI, MSOMI, MZALENDO NA MWENYE MAONO NA BUSARA.
Ni jukumu letu tuliokujua kutoa ushuhuda kwa faida ya  vijana na vizazi vijavyo na kwa faraja ya familia yako pendwa, kusikia unavyoacha alama zisizo futika kama kiongozi, na mtaalamu wa
Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

BABA MTAKATIFU MPYA. PAPA LEO WA XIV (PONGEZI). Shukrani nyingi kwa Mungu kutupatia kiongozi mumisionari mwenye uzoefu mkubwa duniani. Hata na huku kwetu Tanzania amefika kwa wanachama wa Shirika lake la Mt. Agostino huko Njombe na Morogoro mwaka 2004. Pichani ni akiwa Kenya

KESI YA KIKATIBA kuondoa sheria kandamizi za uhuru wa raia kujitetea dhidi ya watawala. Pongezi Profesa Shivji kusimamia swala hili muhimu tena kama ulivofanya kwa BAWATA kwa miaka 11 (1997-2009) hadi ushindi. Tatizo limeibuka upya. Aluta continua youtu.be/95naSNqaEDc?si…

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

20.05.2025. Nawashukuruni nyote mliokuja kutufariji kwenye ibada ya kumbukizi ya fedha tangu kuondokewa na Balozi Wilson Tibaijuka. Wahashamu Askofu Keshomshahara wa KKKT Bukoba na Benson Bagonza wa Karagwe. Wachungaji na mapadre. Viongozi wa Chama na Serikali Mungu awabariki.

Warmest congratulations to Hon. George Masaju on your appointment as Chief Justice of Tanzania 🇹🇿⚖️ Your legal insight and integrity stood out during my time as Minister of Lands and later in Parliament when you were Attorney General. Wishing you wisdom and courage in this high

Warmest congratulations to Hon. George Masaju on your appointment as Chief Justice of Tanzania 🇹🇿⚖️
Your legal insight and integrity stood out during my time as Minister of Lands and later in Parliament when you were Attorney General.
Wishing you wisdom and courage  in this high
Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Great congratulations upon timely completion of this landmark and iconic project in the Lake region. It will facilitate communication in our remote location. Samia Suluhu Bunge la Tanzania Chama Cha Mapinduzi

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kubwa kwa Sr Dk Alicia Massenga kuteuliwa kuongoza hospitali ya Rufaa Bugando. Ni taasisi muhimu kanda ya Ziwa kimbilio letu. Mungu akujalie afya njema na hekima kutimiza majukumu yako mazito. Tunawashukuru TEC kutambua uwezo wake mkubwa. Wanawake pia tunaweza.

27.06.2025. Nimekutana na Mwashamu Baba Askofu Alex Malasusa. Mkuu wa KKKT ofisini kwake Azania Front DSM kujadili ushirikiano katika mradi wa kuanzisha vituo vya kuhudumia watu wenye changamoto za AUTISM (Usonji) nchini Tanzania. Nimemshukuru kwa mpango huo utakaosaidia

27.06.2025. Nimekutana na Mwashamu Baba Askofu Alex Malasusa.  Mkuu wa KKKT ofisini kwake  Azania Front DSM kujadili ushirikiano katika mradi wa kuanzisha   vituo vya kuhudumia watu wenye changamoto za AUTISM (Usonji) nchini Tanzania.

Nimemshukuru kwa mpango huo  utakaosaidia
Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Dk. Margareth Swai. RIP. KAJINYONGA. Utafiti duniani umebaini kuwa madaktari wa kike ni kundi linaloongoza kwa kujinyonga kutokana na stress mahali pa kazi. Ni muhimu taifa tukawa na mkakati kuthibiti tatizo hili nchini petu kwa kutambua lipo. Familia poleni. Mungu awape nguvu.

Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo? Spika akanieleza

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mhe PETER KABISA. RIP. Mama Sherbano na familia. Poleni. Leo 12.08.2025, Kinondoni DSM. Tumempumzisha Mwanadiplomasia mwandamizi na mtumishi wa Wizara ya mambo ya nchi za nje aliyehudumia Uingereza, Swedeni na Ujerumani. Mchango wake katika kukuza diplomasia na ushirikiano wa

Usaili wa ufadhili kidato cha 5 mwaka 2025 kwa wasichana shule ya bweni Barbro Girls Dar es Salaam na Kajumulo Girls Bukoba unaendelea kwa wahitaji. Karibu.

HEKIMA AMANI NA UHURU NDIZO NGAO ZETU. Ee Mungu twakuomba utusaidie sote kutambua AMANI NI TUNDA LA HAKI. Isaya 32:17. Leo 23.08.2025 tunapofunga na kuliombea Taifa letu.

2.09.2025. Drottningholm. Stockholm. Sweden. Tanzanian born Carin Bjorken is "knighted" as a "Silvia Nurse" as she receives her Master of Science degree in Nursing from Her Majesty Queen Silvia of Sweden. HONGERA/ Congratulations Carin. Proud of you. Aunt Anna. Dar es Salaam.

Hongera Balozi Gunbritt Andersson miaka 83 ya kuzaliwa. Mpenda Afrika na maendeleo hujachoka kutafuta skolashipu kusomesha wasichana wahitaji shule ya Barbro. Ulipokuwa mkuu wa SIDA Tanzania mwaka 1980 -1985 Wahisani wakamsusia Mwalimu Nyerere misaada hadi akubaliane na

HONGERA TAIFA TANZANIA KUPATA USHINDI WA MEDALI YA DHAHABU YA KWANZA TANGU UHURU KWA NGAZI YA DUNIA. NI KIJANA WETU ALPHONCE FELIX SIMBU WA MANYARA KUANDIKA HISTORIA KUSHINDA MBIO ZA MARATHON TOKYO JAPAN LEO 15.09.2025. MUNGU AKUBARIKI. PONGEZI Samia Suluhu na wananchi sote.

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Poleni familia, viongozi Kanisa Katoliki hasa jimbo la Bukoba, waumini na wananchi sote kumpoteza mwanadiplomasia nguli wa Vatican ASKOFU MKUU NOVATUS RUGAMBWA (08. 10. 1957 - 16. 09. 2025) huko Roma. Ni Mtanzania wa kwanza kuwa Nuncio yaani Balozi wa Baba Mtakatifu na kutumikia

Leo tarehe 19.09. ni siku 40 kabla ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29.OKTOBA 2025. Siku 40 ni takatifu kwa imani zetu zote ziwe za Asilia, za Kikristo au za Kiislamu. Ni kipindi cha kujitafakari kujinyenyekesha mbele ya Muumba wetu kusameheana, kuridhiana, kufarijiana na kuondoa