Anthony Mavunde (@anthonymavunde) 's Twitter Profile
Anthony Mavunde

@anthonymavunde

Mtumishi wa Watu "De Populo Servorum"

ID: 442007536

calendar_today20-12-2011 17:09:19

145 Tweet

4,4K Followers

79 Following

Anthony Mavunde (@anthonymavunde) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya kutembelea na kukagua mashamba makubwa ya kilimo cha Soya na kufanya mikutano ya wananchi katika kata za Nkung’ungu na Lupa zilizopo tarafa ya Kipembawe,Chunya-Mkoani Mbeya. Ahsante RC Homera kwa utayari wa mkoa wako juu ya uwekezaji wa Longping Hitech

Ziara ya kutembelea na kukagua mashamba makubwa ya kilimo cha Soya na kufanya mikutano ya wananchi katika kata za Nkung’ungu na Lupa zilizopo tarafa ya Kipembawe,Chunya-Mkoani Mbeya.
Ahsante RC Homera kwa utayari wa mkoa wako  juu ya uwekezaji wa Longping Hitech
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Malengo ya upanuzi wa bandari ya Mtwara uliofanywa na Mhe. Rais Samia Suluhu, ni pamoja na kurahisisha usafirishaji wa korosho. #MamaAnafanikisha: Kampuni ya Sibatanza imetumia bandari ya Mtwara kusafirisha korosho tani 15,800 zilizokuwa zimesalia katika mavuno ya msimu uliopita

Malengo ya upanuzi wa bandari ya Mtwara uliofanywa na Mhe. Rais Samia Suluhu, ni pamoja na kurahisisha usafirishaji wa korosho.

#MamaAnafanikisha: Kampuni ya Sibatanza imetumia bandari ya Mtwara kusafirisha korosho tani 15,800 zilizokuwa zimesalia katika mavuno ya msimu uliopita
Anthony Mavunde (@anthonymavunde) 's Twitter Profile Photo

Nimefanya ziara ya kukagua skimu za umwagiliaji Wilaya ya Manyoni,Mkoani Singida.Serikali itajenga bwala kubwa la kuhifadhi Maji eneo la Mbwasa kwa gharama ya Tsh 20bn na hivyo kupelekea kuwa na chanzo cha uhakika cha maji#Ajenda10/30#

Nimefanya ziara ya kukagua skimu za umwagiliaji Wilaya ya Manyoni,Mkoani Singida.Serikali itajenga bwala kubwa la kuhifadhi Maji eneo la Mbwasa kwa gharama ya Tsh 20bn na hivyo kupelekea kuwa na chanzo cha uhakika cha maji#Ajenda10/30#
Anthony Mavunde (@anthonymavunde) 's Twitter Profile Photo

Leo nimempokea Rais wa Burundi *Mh. Evariste Ndayishimiwe* ambaye amewasili nchini Tanzania. Rais Ndayishimiwe anaungana na marais wengine kutoka Afrika kushiriki mkutano wa jukwaa la mifumo ya Chakula(*AGRF *) ambao Tanzania ni mwenyeji chini ya *Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan*

Leo nimempokea Rais wa Burundi *Mh. Evariste Ndayishimiwe* ambaye amewasili nchini Tanzania.

Rais Ndayishimiwe anaungana na marais wengine kutoka Afrika  kushiriki mkutano wa jukwaa la mifumo ya Chakula(*AGRF *) ambao Tanzania ni mwenyeji chini ya *Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan*
Anthony Mavunde (@anthonymavunde) 's Twitter Profile Photo

Uzinduzi wa Kampeni ya Ugawaji wa Mipira Milioni moja kwa lengo la kuibua na kuviendeleza vipaji vya watoto wa Kitanzania#1mBallCampaign#

Anthony Mavunde (@anthonymavunde) 's Twitter Profile Photo

Tembo Nickel imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza! Tembo Nickel kupitia kampuni yake mama ya Lifezone Metals imeandika historia kwa kuzalisha nikeli, shaba, na kobalt zilizosafishwa kutoka kwenye Mradi wa Kabanga Nickel ulioko Ngara, Kagera @

Tembo Nickel imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza!

Tembo Nickel kupitia kampuni yake mama ya Lifezone Metals imeandika historia kwa kuzalisha nikeli, shaba, na kobalt zilizosafishwa kutoka kwenye Mradi wa Kabanga Nickel ulioko Ngara, Kagera @
Anthony Mavunde (@anthonymavunde) 's Twitter Profile Photo

Tembo Nickel kupitia kampuni yake mama-Lifezone Metals imeandika historia kwa kuzalisha nikeli, shaba, na kobalt zilizosafishwa kutoka kwenye Mradi wa Kabanga Nickel -Ngara, Kagera Majaribio yamefanywa katika Maabara ya Lifezone ya kisasa ya Simulus, kwa Teknolojia ya Hydromet

Tembo Nickel kupitia kampuni yake mama-Lifezone Metals imeandika historia kwa kuzalisha nikeli, shaba, na kobalt zilizosafishwa kutoka kwenye Mradi wa Kabanga Nickel -Ngara, Kagera

Majaribio yamefanywa katika Maabara ya Lifezone ya kisasa ya Simulus, kwa Teknolojia ya Hydromet