
KING ASSENGA
@assengapn
Mwanaharakati wa haki. ๐
๐student Open University of Tanzania
๐ Enterpreneur and real fighter
๐From chagga land Kilimanjaro
ID: 1513577215438557196
11-04-2022 17:58:50
24,24K Tweet
6,6K Followers
6,6K Following



Yaani kwa akili ya Kawaida Peter Madeleka umetumwa ushambulie Chadema Tanzania kuwa kuwafanyia wananchi mambo haya sio jinai kutaka yasijitokeze NI jinai ...



Nahitaji makamanda 10 wa #NoReformsNoElection wenye followers chini ya 500 wanifollow, wa repost post hii, halafu waweke handle zao kwenye comment ili kesho nipambane na kuwabustia akaunti zao, haiwezekeni kamanda kuwa na followers kiduchu ๐ CHADEMA NI IMANIโค๏ธ(Nyegere Wa Afrika/Honey badger) CHADEMA NI IMANI โค๏ธ








Tutashinda tukiwa mahakama kuu Mbeya kutafuta haki ya ndugu yetu Mdude Nyagali kauli mbiu yetu ni haki ya kuishi ya ndugu yetu haina mjadala tutaipambania Kwa wivu mkubwa.




JAPHET MATARRA Pia saports za wananchi waamini tutaendelea kupitia namba ulizozitoa,kadiri iwezekanavyo,pole sana๐๐ฟ


Handsome La Kijiji Nimeshindana na nani? Kusema ukweli ni mashindano? Kukemea utekaji ni mashindano? Kukemea mauaji ni mashindano? KOSA LANGU NI LIPI NISTAHILI KUULIWA?
