Augustino Bernhard (@augbern_tz) 's Twitter Profile
Augustino Bernhard

@augbern_tz

|environmental activist โ˜˜๏ธ
|Manchester United fan โ™ฅ๏ธ
|shabiki WA simba ๐Ÿฆ
|Be fun always, all-days ๐Ÿ˜œ

ID: 1603032479501254656

calendar_today14-12-2022 14:21:53

1,1K Tweet

594 Followers

673 Following

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Maelfu ya raia wa Tunisia wanaandamana jijini Tunis wakipinga ukamataji wa wapinzani na wanaharakati, huku wakimtuhumu Rais Kais Saied kwa kuendeleza utawala wa kidikteta na kukandamiza uhuru wa kisiasa. Waandamanaji walijitokeza kwa wingi kuanzia Ijumaa wakibeba mabango yenye

Maelfu ya raia wa Tunisia wanaandamana jijini Tunis wakipinga ukamataji wa wapinzani na wanaharakati, huku wakimtuhumu Rais Kais Saied kwa kuendeleza utawala wa kidikteta na kukandamiza uhuru wa kisiasa.

Waandamanaji walijitokeza kwa wingi kuanzia Ijumaa wakibeba mabango yenye
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

โ€œHatuna shida kubwa sana ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki, sisi kama wachungaji tumehubiri habari za haki na tunaomba haki itendeke kwa sababu hapatakuwa na amani kama hakuna hakiโ€ Mch. Kimaro

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Onyesha upendo kwa katibu wa Balaza la Maaskofu wa kanisa katoliki Nchi Tanzania Padri Charles Kitimi ambeye ameshambulia na watu wasiojulikana, Siku zote amekuwa mstari wa mbele kukemea na kuhubiri kuhusu haki.

Onyesha upendo kwa katibu wa Balaza la Maaskofu wa kanisa katoliki Nchi Tanzania Padri Charles Kitimi ambeye ameshambulia na watu wasiojulikana, Siku zote amekuwa mstari wa mbele kukemea na kuhubiri kuhusu haki.
ARISTOTLE ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ฆ (@noah_mwamfupe) 's Twitter Profile Photo

Siku ya 2 ya mwezi wa Tano. Rozali Takatifu matendo ya Uchungu. Rozali itakuokoa na moto wa milele, Rozali itakuleta karibu zaidi na Mungu. Tusali zaidi Rozali.๐Ÿ™๐Ÿ™

Siku ya 2 ya mwezi wa Tano.
Rozali Takatifu matendo ya Uchungu.

Rozali itakuokoa na moto wa milele, Rozali itakuleta karibu zaidi na Mungu. Tusali zaidi Rozali.๐Ÿ™๐Ÿ™
#NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’ (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Hivi mahakama na vyombo vya sheria vimejipanga vipi na hii AI Technology?๐Ÿค” Au shahidi za mahakamani huwa haziamini kwenye Picha mnato? Dunia ya sasahivi unaweza katwa kichwa kikapachikwa kwa mtu na ukaonekana umeua wewe!!

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Kuwa tajiri sio vigumu. Kigumu ni kuviachana na vile vitu vyote vinavyokufanya kuwa maskini: - Kuacha wanawake wengi. - Kuacha ulevi. - Kuacha maisha ya anasa. - Kuacha uvivu. - Kuacha marafiki wabaya. Ukiachana navyo, utajiri unakufuata.

Anna Lulis (@annamlulis) 's Twitter Profile Photo

This used to be an abortion clinic. A Christian family bought it and turned it into a pregnancy resource center. They transformed a place that ended lives into a place that welcomes life. Glory be to God.

This used to be an abortion clinic.

A Christian family bought it and turned it into a pregnancy resource center.

They transformed a place that ended lives into a place that welcomes life.

Glory be to God.
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

ZINGATIA HAYA UNAPOAMKA, BADILI AINA NA MITINDO YAKO YA MAISHA UWE NA AFYA BORA! 1. Kunywa Glass 1-2 za Maji Asubuhi hii, Fanya hivyo Kwa Ajili ya Vital organs zako ๐Ÿซ€! 2. Pata Angalau dk 15-30 za Mazoezi ya Asubuhi, KEGEL ni MUHIMU zaidi Kwa Mwanaume! 3. Oga Maji Baridi

ZINGATIA HAYA UNAPOAMKA, BADILI AINA NA MITINDO YAKO YA MAISHA UWE NA AFYA BORA!

1. Kunywa Glass 1-2 za Maji Asubuhi hii, Fanya hivyo Kwa Ajili ya Vital organs zako ๐Ÿซ€!

2. Pata Angalau dk 15-30 za Mazoezi ya Asubuhi, KEGEL ni MUHIMU zaidi Kwa Mwanaume!

3. Oga Maji Baridi