Ayker-Adila (@aykerp) 's Twitter Profile
Ayker-Adila

@aykerp

I am guided by 5 principles,
1.Sense of urgency
2.Sense of care
3.Discipline
4.Attentiveness
5.Results orientation

ID: 1406989895369957378

calendar_today21-06-2021 14:58:51

625 Tweet

1,1K Followers

382 Following

Fredwaah (@fred_waaah) 's Twitter Profile Photo

We weren't liberated; we were reprogrammed. Independence handed us chains disguised as freedom: 'Uphold our systems, forget your trauma & stolen humanity... this is who you are now.' And that's what happened: African societies forced into colonial frameworks!

Hilmi Hilal (@hilmihilal88) 's Twitter Profile Photo

Nadhani umekusudia CUF. CUF hawakususia uchaguzi bali walikataa kuhalalisha kharamu ambayo wewe ni miongoni mwa watu waliotoa elimu kubwa kuhusu kharamu ile. Kitu ambacho kipo kinyume na KATIBA, kinyume na sheria yenyewe ya uchaguzi utasemaje kuwa walisusa? Ingawa hili la CDM ni

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Kukikucha wanaamka wema na waovu, waadilifu na wahalifu, werevu na wapumbavu, matajiri na maskini. Ili maisha yaende, tunapaswa kuamka wote kwa pamoja ili maisha yaweze kuwa na maana na msawazo. Tungekuwa tunaamshwa kwa zamu ingekuwaje? Tuvumiliane tu maana tunahitajiana."

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Dr Mmbaga Binafsi napenda viongozi wanaopumzika na kweli wakapumzika. Sipendi viongozi wanaostaafu halafu waendelee kujiweka kwenye spotlight. Huyu mzee ana heshima zake. Ninamheshimu.

Ayker-Adila (@aykerp) 's Twitter Profile Photo

My Fellow Tanzanians, JIPENDE, ukijipenda utataka uishi kwenye nchi iliyo na mifumo bora, mifumo bora itakuletea miundombinu bora, uchumi wa mtu mmoja mmoja pamoja na wa nchi utakua. Muhimu zaidi, ukijipenda utachagua kiongozi mzuri.

My Fellow Tanzanians,
JIPENDE, ukijipenda utataka uishi kwenye nchi iliyo na mifumo bora, mifumo bora itakuletea miundombinu bora, uchumi wa mtu mmoja mmoja pamoja na wa nchi utakua.  Muhimu zaidi, ukijipenda utachagua kiongozi mzuri.
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Wanaume Dhaifu ni Wanaume Katili. Shupavu ni yule mwenye uwezo wa kuyakabili na kuyadhibiti mabavu yake. Dhaifu ni yule mwenye kuelemewa na kutawaliwa na mabavu yake. Mwanaume shupavu hainui mkono bali huinua ulimi kuonya na kuelekeza na moyo wa kusamehe." ~Togolani Mavura.

"Daima tumaini kuwa maisha yako ya kesho ni bora kuliko ya jana. Matumaini hutusukuma kwenda mbele, mashaka huturudisha nyuma. Chaguo ni lako!" ~Togolani Mavura.

"Daima tumaini kuwa maisha yako ya kesho ni bora kuliko ya jana. Matumaini hutusukuma kwenda mbele, mashaka huturudisha nyuma. Chaguo ni lako!" ~Togolani Mavura.
Ayker-Adila (@aykerp) 's Twitter Profile Photo

I have this principle in life, so long as the job haivui utu wangu, haiumiza mwingine wala kumkosea Mungu nitaifanya be it imetoka kwa whoever. Bro, maisha ni magumu sana to care about how people see you. Itafute pesa mpaka uipate, siku ukiumwa hutatibiwa kwa kadi ya chama.

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

By 30, no one cares if you are handsome or beautiful. They care if you are broke, rich or you lack direction. Beauty retires. Success enters the room. Wealth is the new charm. Status is the new style.

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Sisi wazazi wa watoto wa kike, ombi letu kwa wazazi wa watoto wa kiume ni kuwalea watoto wenu wajue kujali, kusamehe, na kuwa na imani kwa wanawake. Sisi tukiwaandaa wanetu wa kike kuwa wake na mama wema haisaidii sana ikiwa ninyi hamuwaandai wenu kuwa waume na baba bora."

"Sisi wazazi wa watoto wa kike, ombi letu kwa wazazi wa watoto wa kiume ni kuwalea watoto wenu wajue kujali, kusamehe, na kuwa na imani kwa wanawake. Sisi tukiwaandaa wanetu wa kike kuwa wake na mama wema haisaidii sana ikiwa ninyi hamuwaandai wenu kuwa waume na baba bora."
Ayker-Adila (@aykerp) 's Twitter Profile Photo

Hata in my next life ikatokea nikaumbwa mwembamba I can't run like this bila kukimbizwa 🀣🀣🀣🀣 Alafu Kamala unaiita fun run πŸ˜‚

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Never feel ashamed of your religion. It is not merely a personal belief but a profound part of your identity. Wherever you go, let it serve as both a symbol of introduction and a badge of honour reflecting your values, principles, and the integrity you carry with you. In a

Never feel ashamed of your religion. It is not merely a personal belief but a profound part of your identity. 

Wherever you go, let it serve as both a symbol of introduction and a badge of honour reflecting your values, principles, and the integrity you carry with you.

In a