BABA AIKA✍️ (@baba_aika1) 's Twitter Profile
BABA AIKA✍️

@baba_aika1

📌Psalms51:1 | The power of prayer 🙏🏻🤲🏾

ID: 1567848171874750464

linkhttp://tiktok.com/@baba.aika3 calendar_today08-09-2022 12:12:56

166,166K Tweet

10,10K Followers

3,3K Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Moja ya kiu kubwa ya wananchi kwenye utendaji wa Serikali ni kuona mashirika ya umma yenye kuleta faida badala ya kuchuma serikalini. Miaka michache iliyopita Serikali ilichukua uamuzi wa kuleta mabadiliko kwenye mashirika yetu ya umma ili yaleta matokeo ambayo wananchi

Moja ya kiu kubwa ya wananchi kwenye utendaji wa Serikali ni kuona mashirika ya umma yenye kuleta faida badala ya kuchuma serikalini. Miaka michache iliyopita Serikali ilichukua uamuzi wa kuleta mabadiliko kwenye mashirika yetu ya umma ili yaleta matokeo ambayo wananchi
꧁FatumaCute💋꧂ (@fatumacute) 's Twitter Profile Photo

Kuimarika Kifedha kwa Mashirika ya Umma. Mashirika ya umma kama STAMICO, TANESCO, na TPDC yameondokana na hasara na utegemezi wa ruzuku.Sasa yanajiendesha kwa faida na huchangia gawio kwa Serikali. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Kuimarika Kifedha kwa Mashirika ya Umma.
Mashirika ya umma kama STAMICO, TANESCO, na TPDC yameondokana na hasara na utegemezi wa ruzuku.Sasa yanajiendesha kwa faida na huchangia gawio kwa Serikali.

#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
𝑫𝒓.𝑯𝒊𝒍𝒂𝒓𝒚 𝒘𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂𝕏 (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

Ongezeko la Kampuni za Madini. Serikali kupitia Msajili wa Hazina imeongeza ushiriki katika kampuni za madini kutoka 4 hadi 12 tangu 2019/20 ongezeko la 200%. Mikataba mingine 10 iko njiani kusainiwa. Hatua hii inaongeza usimamizi, uwazi, na mapato ya taifa kupitia sekta ya

Ongezeko la Kampuni za Madini.

Serikali kupitia Msajili wa Hazina imeongeza ushiriki katika kampuni za madini kutoka 4 hadi 12 tangu 2019/20 ongezeko la 200%. Mikataba mingine 10 iko njiani kusainiwa. Hatua hii inaongeza usimamizi, uwazi, na mapato ya taifa kupitia sekta ya
Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

Tanzania imeweza kufikia kiwango hiki cha mafanikio kwa sababu ya uongozi wenye maono na mikakati thabiti. Huu ni ushahidi wa ufanisi wa Serikali ya Awamu ya Sita. Ufanisi huu kwa mashirika ya umma ni zaidi ya namba ni mafanikio ya pamoja ya Watanzania chini ya Rais Samia

Tanzania imeweza kufikia kiwango hiki cha mafanikio kwa sababu ya uongozi wenye maono na mikakati thabiti. Huu ni ushahidi wa ufanisi wa Serikali ya Awamu ya Sita. 

Ufanisi huu kwa mashirika ya umma ni zaidi ya namba ni mafanikio ya pamoja ya Watanzania chini ya Rais Samia
𝑫𝒓.𝑯𝒊𝒍𝒂𝒓𝒚 𝒘𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂𝕏 (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

Chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia, mageuzi ya Reforms R2 yameleta ufanisi, uwajibikaji, na tija serikalini. Matokeo ya kazi yanaonekana maendeleo yanaguswa na kila Mtanzania. #TunasongaMbele #KaziNaUtu

Chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia, mageuzi ya Reforms R2 yameleta ufanisi, uwajibikaji, na tija serikalini. Matokeo ya kazi yanaonekana  maendeleo yanaguswa na kila Mtanzania. #TunasongaMbele #KaziNaUtu
𝑫𝒓.𝑯𝒊𝒍𝒂𝒓𝒚 𝒘𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂𝕏 (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

Dhamira ya Mama kuhimiza mashirika ya serikali kujitegemea ni ushahidi wa uongozi wa maono, unaolenga kuboresha huduma, kukuza uchumi wa ndani na kuhakikisha taasisi za umma zinatoa matokeo bora kwa wananchi bila kuitegemea serikali moja kwa moja. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Dhamira ya Mama kuhimiza mashirika ya serikali kujitegemea ni ushahidi wa uongozi wa maono, unaolenga kuboresha huduma, kukuza uchumi wa ndani na kuhakikisha taasisi za umma zinatoa matokeo bora kwa wananchi bila kuitegemea serikali moja kwa moja.

#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
The Manywele (@manywele_ze) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia amehimiza mashirika ya serikali yajiendeshe yenyewe ni wa kisera na kimkakati unaonesha dhamira ya kweli ya kuondoa mzigo kwa Serikali na kuhimiza maendeleo ya ndani yenye msingi wa ufanisi wa taasisi. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Rais Samia amehimiza mashirika ya serikali yajiendeshe yenyewe ni wa kisera na kimkakati unaonesha dhamira ya kweli ya kuondoa mzigo kwa Serikali na kuhimiza maendeleo ya ndani yenye msingi wa ufanisi wa taasisi.

#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

Asilimia 46 ya ufanisi ni hatua kubwa kwa Mamlaka ya Bandari! Hii ni ishara kwamba mageuzi ya kiuendeshaji chini ya Rais Samia yanaleta matokeo halisi. Kupungua kwa matumizi na kuongezeka kwa mapato ni dalili ya utawala bora na usimamizi makini wa rasilimali. Hongera kwa

Asilimia 46 ya ufanisi ni hatua kubwa kwa Mamlaka ya Bandari! 

Hii ni ishara kwamba mageuzi ya kiuendeshaji chini ya Rais Samia yanaleta matokeo halisi. 

Kupungua kwa matumizi na kuongezeka kwa mapato ni dalili ya utawala bora na usimamizi makini wa rasilimali. Hongera kwa
Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete yaandika historia kupitia kampeni ya Tiba Mkoba ya Dr. Samia Suluhu Hassan zaidi ya watu 27,600 wamepatiwa huduma za moyo bure katika mikoa 16! Uwajibikaji huu ni kielelezo cha uwekezaji wenye tija katika sekta ya afya. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete yaandika historia kupitia kampeni ya Tiba Mkoba ya Dr. Samia Suluhu Hassan zaidi ya watu 27,600 wamepatiwa huduma za moyo bure katika mikoa 16! Uwajibikaji huu ni kielelezo cha uwekezaji wenye tija katika sekta ya afya.
#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
𝑫𝒓.𝑯𝒊𝒍𝒂𝒓𝒚 𝒘𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂𝕏 (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi makubwa katika mashirika ya umma. Mafanikio haya ni matokeo ya dira sahihi na mshikamano wa Watanzania. Tuko kwenye njia sahihi ya maendeleo! #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi makubwa katika mashirika ya umma. Mafanikio haya ni matokeo ya dira sahihi na mshikamano wa Watanzania. Tuko kwenye njia sahihi ya maendeleo!
#KaziNaUtu #TunasongaMbele