Msanii anapo kuwa mdomoni mwa watu ndiyo management yenye kujua kumanage inafanya kumuandalia hata show angalau sio msanii yupo mdomoni halafu kajificha ficha yeye ana bang mtandaoni tuu.
Paka Mchomvu akasema ajitokeze?
Bongo hakuna presenter anaweza kumualika Duke Tachez.
Kama kuna presenter angeona jinsi mashabiki tuna hamu ya kumsikiliza Duke akihojiwa wasenge chezea hiyo karata. Wanasema bro ana misimamo mikali ila sidhani kama anaweza kugomea Mahojiano.
Mfano tumpendekeze presenter yupi?
“Toka Rap clinic, mistari chafu clean it.
Ass too fat niggaz wanna flat scene it.
Unju back in it, Ukonga mechanics.
Moto tuki-split bars hatu- grab penis”
Chapo ana mdogosha Mbosso kweli?
Hata kama ndiyo uko team Wasafi unakata wakati mwingine.
Mbosso mbaya kabla ajafika usafini et hizo ngoma aliandika akiwa usafini kauli ya ki wack.
Bongo bhana yani Wakazi ana deal na Khalighaf jones na Khalighaf kama kala mnuno ila kuna wabongo wenzetu Wanajitokeza kumjibia Khalighaf.
Tujifunze kuvunga mtu ana deal na mtu pake tena paka anamtag wewe inakuhusu nini? Acha Wasanii waoneshane usanii wao.
Fredrick mulla 🔥🔥🔥🔥🔥
Kaachia diss track kwa Motra wenu .
Bonge la kazi Kmmk link hii hapo.
Inaitwa siulitaka noma haya noma umeletewa kazi kwako.
youtu.be/mxw9BOwK4Tc?si…
Fredrick mulla ndiyo Rapper pekee Bongo alianza kuimba kabla ya kurap.
Ma rapper wenu sihuwa wanaanza nakurap ,badae wana switch wanaimba ila yeye Mulla akawa wakipekee kidogo.
Kingine kwa Mulla ndiyo Rapper pekee ana inspiration na rapper yoyote bongo.
Malkin wa nguvu bio link
Kitu kingine nacho penda kwa Afande Sele ni mtu Smart sana .
Msanii pekee anae weza kukubali Talent ya msanii mwenzake wazi wazi haijalishi alisha wayi kukwazana nae nyuma ila yeye Afande ana baki kwenye kumkubali.
Respect kwa Afande Sele 🔥
Diss track yenye ufundi mwingi unasikiliza una enjoy.
Motra alimwambia Mwana Tanna ana sagana.
Aysee ma Nigger wa kurap kumbe wambea wambea tuliaminishwa wanao fanya Bongo freva kumbe hata wao.
kama H baba wewe Ex wangu Frola mvungi.
Naukitaka tifu karibu sivungi unajifanya mtakatifu Kanisa sifungi wanao sema wewe nimkali wamelewa Tungi . Motra hivi bado ana pumua huko.
Future gani paka Sasa aujatoka Kuna ku rhymes na kuropoka nakutafuna nakutema kama bazoka .
Sumu kama koboko navuma sitaki kutoka ,niende wapi? niko ndani nakunyoosha umejichochaa paka uniite papi tosha.