Balyx (@balyx_) 's Twitter Profile
Balyx

@balyx_

On 18th of December 2022, I witnessed MESSI WINNING A WORLD CUP☝️

ID: 1229683405358608386

calendar_today18-02-2020 08:26:00

216,216K Tweet

151,151K Followers

6,6K Following

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

✅ Mshindi wa mechi kati ya Azam FC 🇹🇿 vs. El Merreikh Bentiu 🇯🇴 atakutana na Mshindi wa mechi kati ya AS Sports Djibouti 🇩🇯 vs. KMKM ya Zanzibar. ⏳Huenda Azam Fc ikafuzu hatua ya Makundi ya michuano ya CAF kwa mara ya kwanza chini ya kocha Florent Ibenge 🇨🇩 #CAFCC

✅ Mshindi wa mechi  kati ya Azam  FC 🇹🇿 vs. El Merreikh Bentiu 🇯🇴 atakutana na  Mshindi wa mechi  kati ya AS Sports Djibouti 🇩🇯  vs. KMKM ya Zanzibar. 

⏳Huenda Azam Fc ikafuzu hatua ya Makundi ya michuano ya CAF kwa mara ya kwanza chini ya kocha Florent Ibenge 🇨🇩

#CAFCC
Balyx (@balyx_) 's Twitter Profile Photo

Hawa wape “a lifetime contract” na Taifa Stars At least tumeona wanachofanya licha ya kwamba hawana mbinu ila Wachezaji wanawaheshimu na kuwapambania

Hawa wape “a lifetime contract” na Taifa Stars

At least tumeona wanachofanya licha ya kwamba hawana mbinu ila Wachezaji wanawaheshimu na kuwapambania
m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Usikubali kukosa vitu vikali, njoo suit_mseleleko chimbo la uhakika kwa mahitaji ya suti kali na original kwa 180,000 tu (three pieces suit) 📍: Msimbazi kariakoo, Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba) 📞 0762617089 Delivery uhakika

Usikubali kukosa vitu vikali, njoo <a href="/suitmseleleko/">suit_mseleleko</a> chimbo la uhakika kwa mahitaji ya suti kali na original kwa 180,000 tu (three pieces suit)

📍: Msimbazi kariakoo, Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba)

📞 0762617089 

Delivery uhakika
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, amewaongoza viongozi mbalimbali wa kiserikali na waombolezaji wengine kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Yustino Ndugai, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>, amewaongoza viongozi mbalimbali wa kiserikali na waombolezaji wengine kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Yustino Ndugai, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo
Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Swahiba Akaunti za CRDB zinakulinda, Okoa gharama na furahia huduma bora kupitia: • Akaunti ya Akiba • Akaunti ya Mshahara • Akaunti ya Mwanachuo Fungua akaunti kirahisi kupitia SimBanking App, Wakala CRDB Bank PLC, au Tawi lolote karibu yako. #SwahibaNaWeweUmo

Swahiba Akaunti za CRDB zinakulinda,
Okoa gharama na furahia huduma bora kupitia:
• Akaunti ya Akiba 
• Akaunti ya Mshahara 
• Akaunti ya Mwanachuo 

Fungua akaunti kirahisi kupitia SimBanking App, Wakala <a href="/CRDBBankPlc/">CRDB Bank PLC</a>, au Tawi lolote karibu yako.

#SwahibaNaWeweUmo
Balyx (@balyx_) 's Twitter Profile Photo

We have something to learn from Kenyan fans. Sio kwa ubaya Sisi tunashangilia goli na chenga, wao wanaenjoy soka Kudos kwao