Bashiri Sospeter (@bashirisospeter) 's Twitter Profile
Bashiri Sospeter

@bashirisospeter

Self employment/
@TaifaStars_ @yangasc1935

ID: 3191626581

calendar_today21-04-2015 17:30:02

89,89K Tweet

1,1K Followers

100 Following

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Joshua Nassari ameshinda kwa kishindo kura za maoni za CCM kugombea Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kwa kupata kura 6678 kati ya kura 9131 zilizopigwa huku John D Pallangyo aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo akiibuka kuwa mshindi wa pili kwa kupata kura 652 Akitangaza matokeo hayo

Joshua Nassari ameshinda kwa kishindo kura za maoni za CCM kugombea Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kwa kupata kura 6678 kati ya kura 9131 zilizopigwa huku John D Pallangyo aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo akiibuka kuwa mshindi wa pili kwa kupata kura 652

Akitangaza matokeo hayo
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Mikataba mipya ya maana ndani ya JKT Tanzania: โœ… Wilson Nangu: 2028 โœ… Yakoub Suleiman: 2028 JKT TANZANIA ๐Ÿ™Œ #TransferUpdates

Mikataba mipya ya maana ndani ya JKT Tanzania:

โœ… Wilson Nangu: 2028
โœ… Yakoub Suleiman: 2028

JKT TANZANIA ๐Ÿ™Œ

#TransferUpdates
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu humu alidhani kuchoma watu na kujipendekeza kwa Waziri Salum na Abdul kutamfanya ashinde kura za maoni lakin wapi wajumbe wamemlaza na viatu.๐Ÿ˜†

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu ! Tumepigwa Wote. Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa Mkoani Simiyu kupitia CCM, Luhaga Mpina ametangazwa rasmi kuhamia Chama cha ACT Wazalendo na kupokelewa katika Ofisi za ACT Vuga Visiwani Zanzibar leo August 05,2025 na Viongozi wa Chama hicho akiwemo Zitto Kabwe na Katibu Mkuu Ado Shaibu.

TFF TANZANIA (@tanfootball) 's Twitter Profile Photo

Tukutane Benjamin Mkapa Jumatano hii, Kiingilio kimoja mechi mbili saa 11 jioni Burkina Faso vs Central Africa baada ya hapo tunashuhudia Tanzania akitupa karata yake ya pili dhidi ya Mauritania saa 2 usiku @taifastars_ @tanfootball CAF_Online

Tukutane Benjamin Mkapa Jumatano hii, Kiingilio kimoja mechi mbili saa 11 jioni Burkina Faso vs Central Africa baada ya hapo tunashuhudia Tanzania akitupa karata yake ya pili dhidi ya Mauritania saa 2 usiku @taifastars_ @tanfootball <a href="/CAF_Online/">CAF_Online</a>
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Imeelezwa kuwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kutumia mamlaka aliyopewa Kikatiba, ametengua

DAR: Imeelezwa kuwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kutumia mamlaka aliyopewa Kikatiba, ametengua
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo kwenye kikao maalum kilichofanyika jana August 5, 2025 pamoja na mambo mengine imependekeza majina ya wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar ambapo kwa upande wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Waliosema na kuasisi kauli mbiu ya #HakunaKuhamaChama kwa madoido katika uchaguzi wa ndani wa chama chetu ndiyo karibu wote wameamua kuhama chama. Haikuwa na dhamira ya kweli. Haikutokana na ushindani wa ndani wa kisiasa. Maana yake, hii ilikuwa kauli mbiu ya KITAPELI tu.

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡ โžก๏ธ Mtibwa Sugar imekamilisha usajili wa kiungo Ezekiel Mwashilindi kutoka Tz Prisons. โœ… It's all Done & Sealed ๐Ÿ”’

๐Ÿšจ ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡

โžก๏ธ Mtibwa Sugar imekamilisha usajili wa kiungo Ezekiel Mwashilindi kutoka Tz Prisons.

โœ… It's all Done &amp; Sealed ๐Ÿ”’
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡ โžก๏ธ Pamba Jiji Fc imekamilisha usajili wa Beki wa kati Abdulmajid Mangalo kama mchezaji huru tangu alipoachana na Fountain Gate. โœ… It's all Done & Sealed ๐Ÿ”’

๐Ÿšจ ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡

โžก๏ธ Pamba Jiji Fc imekamilisha usajili wa Beki wa kati Abdulmajid Mangalo kama mchezaji huru tangu alipoachana na Fountain Gate.

โœ… It's all Done &amp; Sealed ๐Ÿ”’
#NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’ (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Mawili, its either hakuwa hata na hiyo plan, ni hisia zetu tu. Au kaghairi kapiga U-turn kaona sio kweli wrong move!! Naye sio mjinga bana anasoma comments za raia anaona nini wanasema.

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡ โžก๏ธ Kiungo Mshambuliaji Joshua Mutale ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ anaweza akaondoka Simba Sc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ili kupisha nafasi ya kiungo mkabaji. Simba inataka kuongeza kiungo mkabaji wa kigeni kama watafikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa Mutale. โณ Talks Underway.

๐Ÿšจ ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡

โžก๏ธ Kiungo Mshambuliaji Joshua Mutale ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ anaweza akaondoka Simba Sc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ili kupisha nafasi ya kiungo mkabaji.

Simba inataka kuongeza kiungo mkabaji wa kigeni kama watafikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa Mutale.

โณ Talks Underway.