Billy Kaz (@billykaz1) 's Twitter Profile
Billy Kaz

@billykaz1

Great thinker

ID: 768491323276025857

calendar_today24-08-2016 16:53:04

98,98K Tweet

611 Followers

656 Following

Jerry Mtitu (@mtitujerry) 's Twitter Profile Photo

"Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku zilizo mbaya, wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo" MHUBIRI 12;1

Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

Itโ€™s ๐Œ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐“๐ข๐ฆ๐ž! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ From the NBC Premier League to the Club World Cup stage โ€” what a journey! The only Tanzanian player at the tournament. A massive moment for him and the country! ๐Ÿ™Œ #ClubWorldCupwithMicky | #AfricanFootball | #Tanzania | #FIFACWC

Itโ€™s ๐Œ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐“๐ข๐ฆ๐ž! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ

From the NBC Premier League to the Club World Cup stage โ€” what a journey!

The only Tanzanian player at the tournament.

A massive moment for him and the country! ๐Ÿ™Œ

#ClubWorldCupwithMicky | #AfricanFootball | #Tanzania | #FIFACWC
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Leo Selemani Mwalimu kijana wetu kutoka Tanzania amecheza mechi ya kombe la dunia la vilabu dhidi ya Juventus ya Italia. Kwenye dakika zote 45 alizocheza, Mwalimu amepiga pasi zote kwa usahihi bila kupoteza hata moja na amepiga shuti lilolenga goli. Respect kwake.

Leo Selemani Mwalimu kijana wetu kutoka Tanzania amecheza mechi ya kombe la dunia la vilabu dhidi ya Juventus ya Italia. Kwenye dakika zote 45 alizocheza, Mwalimu amepiga pasi zote kwa usahihi bila kupoteza hata moja na amepiga shuti lilolenga goli. Respect kwake.
Sophia Kessy (@sophiakessy) 's Twitter Profile Photo

Mathayo 11:28 - 30 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; Kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Moussa Camara amefikia rekodi ya juu ya clean sheet (19) kwenye Ligi Kuu ambayo iliwekwa na golikipa wetu mwingine, Aishi Manula. PinPin ๐Ÿ‘ #NguvuMoja

Moussa Camara amefikia rekodi ya juu ya clean sheet (19) kwenye Ligi Kuu ambayo iliwekwa na golikipa wetu mwingine, Aishi Manula.

PinPin ๐Ÿ‘ #NguvuMoja
Mishalymish (@mishalymish) 's Twitter Profile Photo

Habari za Leo Kaka zangu na dada zangu,M/MUNGU Awatunze na Kuwabariki.Tangu nilipoanza challenge ya changizo nje ya Hapa mpaka Leo nimepata 3,100,800 Zinaitajika pesa Million 107,734,920/= sawa na (Dollar elfu 40 za kimarekani) NAWAOMBA/NAKUOMBA WEWE UWE SABABU YA MIMI KUSIMAMA

Habari za Leo Kaka zangu na dada zangu,M/MUNGU Awatunze na Kuwabariki.Tangu nilipoanza challenge ya changizo nje ya Hapa mpaka Leo nimepata 3,100,800
Zinaitajika pesa Million 107,734,920/= sawa na (Dollar elfu 40 za kimarekani) 
NAWAOMBA/NAKUOMBA WEWE UWE SABABU YA MIMI KUSIMAMA
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.

Joseph Kalimbwe (@joseph_kalimbwe) 's Twitter Profile Photo

Iranโ€™s decision to close the Strait of Hormuz should teach us as Africans. Over 40 African nations spend billions to buy fuel from UAE. By buying UAE fuel instead of Angola, we help fund the beauty of UAE. Then we take flights to Dubai & wonder at the very beauty we helped fund !

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

MTWARA; MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa wawili kati ya maofisa saba wa jeshi la Polisi waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachigwea

MTWARA; MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa wawili kati ya maofisa saba  wa jeshi la Polisi waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachigwea
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa Askari Polisi wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya Mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi aliyekuwa Mkazi wa Kijiji cha Luponda, Wilaya ya Nachingwea, Mkoani Lindi Azam TV imeripoti kuwa

Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa Askari Polisi wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya Mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi aliyekuwa Mkazi wa Kijiji cha Luponda, Wilaya ya Nachingwea, Mkoani Lindi

Azam TV imeripoti kuwa
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Mtawa wa Kanisa Katoliki na Daktari mzuri wa upasuaji aliyesoma ndani na nje ya nchi. Akafundisha chuo cha afya cha Bugando na akawa mkurugenzi wa huduma za upasuaji wa Hospitali hiyo. Hatimaye TEC imemteua Sister Dr. Alicia Massenga kuwa Mkurugenzi mkuu wa Hospital ya Bugando.

Mtawa wa Kanisa Katoliki na Daktari mzuri wa upasuaji aliyesoma ndani na nje ya nchi. Akafundisha chuo cha afya cha Bugando na akawa mkurugenzi wa huduma za upasuaji wa Hospitali hiyo. Hatimaye TEC imemteua Sister Dr. Alicia Massenga kuwa Mkurugenzi mkuu wa Hospital ya Bugando.
Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ | Florent Ibenge to Azam FC โ€” ๐€๐ ๐ซ๐ž๐ž๐ฆ๐ž๐ง๐ญ ๐ข๐ง ๐ฉ๐ฅ๐š๐œ๐ž! Azam FC have reached a deal for Florent Ibenge to become their new head coach. Heโ€™ll sign a two-year contract with an option to extend โ€” becoming the highest-paid manager in Tanzania. ๐Ÿ’ฐ ๐Ÿ›ฌ Arriving with

๐Ÿšจ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ | Florent Ibenge to Azam FC โ€” ๐€๐ ๐ซ๐ž๐ž๐ฆ๐ž๐ง๐ญ ๐ข๐ง ๐ฉ๐ฅ๐š๐œ๐ž!

Azam FC have reached a deal for Florent Ibenge to become their new head coach. 

Heโ€™ll sign a two-year contract with an option to extend โ€” becoming the highest-paid manager in Tanzania. ๐Ÿ’ฐ

๐Ÿ›ฌ Arriving with
Sophia Kessy (@sophiakessy) 's Twitter Profile Photo

Prayers Time ๐Ÿคฒ๐Ÿพ....... Jambo lolote lisikufanye Umsahau Mungu sema nae wakati wote yeye ni Msikivu na hujibu kwa wakati. Soma Waefeso 6:10-18 ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Yesu akamwambia, โ€œJe, unaamini kwa kuwa umeniona? Heri yao wale ambao hawajaona, lakini wameamini.โ€ Yohane 20:29 BHN