
Brenda Rupia Jonas
@brendarupia
Director of Publicity and Communications CHADEMA|Secretary General of the Women wing in Kinondoni Region|Mom|Citizen of my Nation.
ID: 1587023534953463810
31-10-2022 10:08:16
822 Tweet
7,7K Followers
173 Following

Kwa watumiaji wa mtandao wa Halotel_Tanzania sasa mnaweza kulipia Ada, kadi za Uanachama na kukichamgia Chama. Kuwa sehemu ya mapambano haya, ungana nasi.




CHADEMA has reaffirmed our firm Amsterdam & Partners as part of their official legal advisory and representation team. We thank the party for the trust they continue to place in us.

Thank you Michael Gahler for standing with us and helping to raise your voice in defense of truth and justice. As you rightly point out, the Director of Public Prosecution in Tanzania has no evidence whatsoever to support this outrageous charge of high treason against Tundu





Tayari katika viunga vya Mahakama kushuhudia kesi ya marejeo ya Mh.Tundu Antiphas Lissu dhidi ya jamuhuri.


Brenda Rupia Jonas Tundu Antiphas Lissu Lissu muda wote furaha tu

Mawakili wa upande wa utetezi wanaomwakilisha Mhe. Tundu Antiphas Lissu wakiwa tayari kuanza kwa kesi ya marejeo No. 14496/2025 iliyofunguliwa na Mhe. Tundu Antiphas Lissu dhidi ya Jamhuri.




Mhe. Tundu Antiphas Lissu akitoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam na kuwasalimia wananchi kwa salamu ya #NoReformsNoElection.



