bugando medical centre (@bugandoc) 's Twitter Profile
bugando medical centre

@bugandoc

all about BMC

ID: 1127121490619568129

linkhttp://Bmc.go.tz calendar_today11-05-2019 08:01:19

560 Tweet

2,2K Followers

29 Following

bugando medical centre (@bugandoc) 's Twitter Profile Photo

Chuo kikuu cha Duke cha nchini Marekani kwa kushirikiana na taasisi ya Healing the Children North East wamekabidhi mashine ya Automated external defibrillator na vifaa tiba vingine kwa Hospitali ya Bugando.

SIGN FRACTURE CARE INTERNATIONAL YATOA VIFAA VYA KUTIBU MIFUPA , BUGANDO Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando leo Juni 09, 2025, imepokea msaada wa seti 3 za vifaa vya kutibu mifupa (sign set 1, pelvis set 2, na sign nails 54).

SIGN FRACTURE CARE INTERNATIONAL YATOA VIFAA VYA KUTIBU MIFUPA , BUGANDO
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando  leo Juni 09, 2025, imepokea msaada wa seti 3  za vifaa vya kutibu mifupa (sign set 1, pelvis set 2, na sign nails 54).
bugando medical centre (@bugandoc) 's Twitter Profile Photo

Katika harakati za kupambana na ugonjwa wa saratani kikundi cha vision kinachoundwa na wanafunzi waliomaliza kidato cha sita katika shule ya morning star iliyopo Jijini Mwanza wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando leo hii Juni 16, 2025. pic.x.com/xv6KeLoWOJ