
AFANDE CIRO
@bwirem69738
Success is Not for the Lazy
ID: 1661750540643209216
25-05-2023 15:06:50
3,3K Tweet
581 Followers
553 Following

Mh. Rais Samia Suluhu Matumizi ya fedha za walipakodi haipaswi kuwa siri. Ikiwa kauli yako inamlenga aliyepiga picha barua za kumlipa fedha Lugumi, na ikiwa wewe unaona hilo ni tatizo, watu wataamini mpango huo ni wa kifisadi. Haiwezi kuwa tatizo kama mpango huo ni halali.


Kesho Makam Mwenyekiti Mhe. John Heche atazungumza na Wasomi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati. ๐ Mikocheni





Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara Mhe. John Heche atakuwa mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam. Mhe. John Heche pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23






โผ๏ธ #EnforcedDisappearance ALERT #Tanzania โผ๏ธ Anaitwa Mangโera Mugore Alitekwa 09 Mei 2025 jijini Mwanza na hadi sasa Police Force TZ narudia binadamu hawezi kupotezwa kirahisi! Huyu kijana ana watoto wadogo na mke - familia inamtegemea Samia Suluhu huu ukatili wako huu This young man






