
Carol Ndosi
@carolndosi
#WomenInTech #KilimoNaCarol #Foodie | Digital Inclusion | Comms| SKILLS | @thelaunchpadtz @lpdigitaltz @techwomentz @nyamachomafest @_123productions
ID: 248618354
http://www.lpdigital.or.tz 07-02-2011 11:26:11
356,356K Tweet
599,599K Followers
2,2K Following




THE THUNDER ARE BACK IN THE FINALS ⛈️ OKC is in the #NBAFinals presented by YouTube TV for the 1st time since 2012! Check out the best plays from that squad, led by KD, Russ, Harden, and Ibaka 🔥












Carol Ndosi My principle fanya kazi kwa ufanisi acha ufanisi uongee

Carol Ndosi Nawambia hapa kila siku. Vijana wengi wanakosa fursa kwa sababu ya kukosekana kwa uaminifu kwenye jamii Yetu. Kila mtu ni kama vile ni mwizi anayengoja fursa yake itokee.

Carol Ndosi Kuna nguvu kubwa kwenye kufanya kazi kwa uadilifu na ubora. Hizo ndizo kazi zinazokutengenezea heshima, jina, na pesa Lakini hiyo ‘well done’ inategemea sana na moyo wa yule unayemfanyia kazi. Wapo watu wengi ambao ni vigumu kwao kuona thamani ya juhudi zako hata kama umefanya
