Chuo cha Diplomasia kinakukaribisha katika Banda lake katika Maonyesho ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia Dr Jeremia Ponera ametembelea banda la Chuo katika Maonyesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam