CHADEMA (@chadema) 's Twitter Profile
CHADEMA

@chadema

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

ID: 1019565733

calendar_today18-12-2012 11:20:59

100 Tweet

4,4K Followers

692 Following

CHADEMA (@chadema) 's Twitter Profile Photo

Tulikuwa tukisikia na kuyaona haya kwenye nchi kama North Korea, China n.k. Leo hii yanatokea hapa kwetu #Tanzania #TanzaniaDecides2020 #TutaelewanaTu #Uchaguzi2020

Tulikuwa tukisikia na kuyaona haya kwenye nchi kama North Korea, China n.k.
Leo hii yanatokea hapa kwetu #Tanzania #TanzaniaDecides2020 #TutaelewanaTu #Uchaguzi2020
Hilmi Hilal (@hilmihilal88) 's Twitter Profile Photo

Taarifa! Pemba: Jimbo la Wingwi wamepiga Risasi za moto watu wanne (4) na 1 Amefariki. Alofariki Masoud Salim Fadhil, kijana anaekisiwa kuwa na miaka 16. #ZanzibarLivesMatter #UsikuWaMashahidi

Taarifa!
Pemba:

Jimbo la Wingwi wamepiga Risasi za moto watu wanne (4) na 1 Amefariki. 

Alofariki Masoud Salim Fadhil, kijana anaekisiwa kuwa na miaka 16.

#ZanzibarLivesMatter
#UsikuWaMashahidi
Pernille Bærendtsen (@xxxxpernille) 's Twitter Profile Photo

I know we are many with #Tanzania - Unguja & Pemba - in our heart & minds tonight, and in coming days. Many conversations are connecting across oceans & continents. Peaceful elections, please! #TanzaniaDecides2020 #TanzaniaElections2020

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Meko ameamua kuuwa watu kulazimisha kuibiwa kwa kura! Nadhani mwaka huu hafahamu huu uchaguzi ni wa tofauti sana! Ataondoka tu atake asitake

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Hizi ni risasi za SMG zinaokotwa mitaani huko Pemba.. Meko must go! Huwezi kuuwa watu kwa tamaa za kuweka kiongozi ambaye hata mkewe tu hatamchagua maana ni zezeta na hafai

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Apparently the Tanzanian government restricted twitter both in the mainland and Zanzibar 🤔. Tough times ahead of us! #FreedomOfSpeech

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Alert 👉Vikosi vya wanajeshi na TISS wanapanga kwenda kumzuia Seif Sharif Hamad asitoke ndani kuanzia leo ! 👉Meko ulionywa hukusikia sasa damu zimetapakaa mikononi mwako

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

In #Tanzania users are reporting Twitter is crawling slowly to a halt and is restricted Kama unapata Twitter kwa shida reply hapo chini na kama uko tayari tutajie mkoa uliopo ili tuweze kujua tatizo. #ChangeTanzania #ZanzibarLivesMatter

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Alert from Pemba 👉 12 people killed 👉 38 severely wounded 👉 several not know their whereabout! 👉Police are hiding and collecting people who are wounded

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Wakati walipitisha sheria inayokataza matumizi ya VPN, nilijua ni kwa lengo ya ku-restrict wananchi kupata access ya internet. Utakuta wao washahamasishana WOTE wana VPN lakini mwananchi ni kosa TUMIENI VPN - ni haki yetu kupata habari! #ChangeTanzania #ZanzibarLivesMatter

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Alert 👉Whatsapp calls restricted in Tanzania ! Shame and sad 👉Meko ameharibu sana hii nchi kwa kumsikiliza dikteta mwenzake Kagame 👉Lakini tutakutoa tu yaani hatutanii we are serious! #FreedomOfSpeech

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Updates coming from #Zanzibar through opposition ACTWazalendo about the election related violence that happened at night. 4 identified civilians have been killed 👇🏽 #ZanzibarLivesMatter

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Hivi ndivyo Meko anavyotoa uhai wa watu kulazimisha Mwinyi awe Rais.. Tukiposema kafika mahali kakodi warundi kuja kufanya kazi hii hatukuwa tunatania

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Naomba kuuliza Samia Suluhu haelewi kuwa #Tanzania haina machifu? Haelewi kuwa machifu waliondolewa kwa mujib ya SHERIA na wanakatazwa Kwa SHERIA kutenda function ya kichifu? Nani anaemshauri Samia Suluhu jamani? Kaapa kulinda KATIBA na SHERIA za Nchi hii, kwanini anafanya hivi?

Naomba kuuliza Samia Suluhu haelewi kuwa #Tanzania haina machifu? Haelewi kuwa machifu waliondolewa kwa mujib ya SHERIA na wanakatazwa Kwa SHERIA kutenda function ya kichifu?
Nani anaemshauri Samia Suluhu jamani?
Kaapa kulinda KATIBA na SHERIA za Nchi hii, kwanini anafanya hivi?
Mdude Nyagali (@mdudenyagali) 's Twitter Profile Photo

Mambo ya hovyo kabisa haya fikiria watu wote wanaomuunga mkono Lissu wamekatwa kwenye kugombea kamati kuu isipokuwa Pambalu, halafu chawa wa Mwamba wamepitishwa wote kama walivyo. Najaribu kuwaza hivi kweli hawa wenzetu dhamila yao ni kuishinda dola? Au na wenyewe ni sehemu ya

Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama