
CHASO DIT
@chasodit
@ChademaTz Students Organization at the Dar es Salaam Institute of Technology
ID: 1577223527341637632
https://en.m.wikipedia.org/wiki/Chadema 04-10-2022 09:07:13
12,12K Tweet
129 Followers
16 Following




Thank you Al Jazeera World šš½ #NoReformsNoElection


"Leo nimeemda kumuona magereza Tundu Antiphas Lissu nimezuiwa." Mhe. John Heche


"Leo nimeemda kumuona magereza Tundu Antiphas Lissu nimezuiwa." Mhe. John Heche #NoReformsNoElection #FreeTunduLissu


Nimepata taarifa za ndani kwamba kuna mkakati wa kuniumiza. Kwamba siku wakinikamata watanichakaza sana. Nimejikabizi kwa Mungu. Niwakumbushe tu kwamba hakuna tone langu la damu litapotea bure. Police Force TZ

Siku ya 19 sasa wanakushikilia Tundu Antiphas Lissu ila wanatetemeka na kuweweseka huku nje kwa woga Umeitikisa nchi, umeitikisa dunia na hawana namna zaidi ya kuhaha Kudai mabadiliko siyo uhaini Mabadiliko hayaepukiki #FreeTunduLissu #FreeTunduLissuNow #LissuSioMhaini #Tanzania



Jeshi la Polisi linaonekana kujitahidi zaidi kuwazuia Watanzania kuhudhuria kusikiliza kesi ya Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu badala ya kulinda haki zao za kikatiba. Chama Cha Mapinduzi mnaogopa nini?Samia Suluhu This is only exposing you more.

Hivi ndivyo Polisi wetu walivyozingira nyumba ya Makamu Mwenyekiti John Heche mapema leo. Chama changu kitakapoongoza serikali, nitakishauri tuache kuyatumia kisiasa majeshi yetu.


Hii ndio rangi halisi ya Kimapambo ya Tundu Antiphas Lissu Anakiishi kile anacho hubiri.



ā¼ļøPOLICE DENY TRYING TO ENTER BY FORCE LISSUāS HOMEā¼ļø Regional Commissioner of Dar Jumanne Muliro is incompetent and should resign! He now claims they were just providing security to the residence of Tundu Antiphas Lissu which of course is totally UNTRUE because they knocked and wanted

