
CHASO IRINGA
@chasoiringa
Official account of Chadema Students Organisation Iringa Region. (@ChasoIringa)
CHASO - ni chanzo cha fikra bora.
ID: 1221100854712979462
http://Instagram.com/Chademainblood 25-01-2020 16:02:26
641 Tweet
4,4K Followers
586 Following




Vijana wa kike na kinamama wajitokeza kwa wingi katika mkutano wa Mlola, Tanga, ambapo mkutano huo ulihutubiwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Kanda Mhe. Godbless E.J. Lema. #UshindiUnakuja


Kamanda John Heche mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Akiendelea na ziara yake kanda ya serengeti Jimbo la tarime vijijini kijiji cha Borega kata ya Ganyange.





Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Antiphas Lissu atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo Jumatano tarehe 25 Septemba 2024, saa kumi na nusu jioni, Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni Dar es salaam. Vyombo vyote vya habari vinakaribishwa.


Salamu za pole kwa waathirika wa kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo #Kariakoo #Ghorofa




Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu wakisalimiana leo kabla ya kuanza kwa kikao chama Kamati Kuu ya CHADEMA ambayo pamoja masuala mengine, itaketi na kusaili wagombea wa nafasi mbalimbali katika Kanda ya Kaskazini na Kanda ya Kati.


Kesho tarehe 16 Desemba 2024 Katibu Mkuu wa Chama Mhe. MNYIKA John John atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika saa tano asubuhi Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar Es Salaam. Waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
