๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š (@childmaternal) 's Twitter Profile
๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š

@childmaternal

Medical Practitioner, Consultant , Content Creator,Afya Ya Mama Na Mtoto,Elimu Ya Afya Ya Uzazi,
#BetterHealthForTheTomorrowFuture

ID: 1791889752108544001

calendar_today18-05-2024 17:53:27

1,1K Tweet

1,1K Followers

359 Following

๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š (@childmaternal) 's Twitter Profile Photo

Vipimo Muhimu Kwa Mama Mjamzito โ†’ Maambuki ya virusi ( HIV) ๐Ÿค™ hii itakusaidia kujua hali yako mapema โ†’ Kipimo cha Mkojo(URINALYSIS) ๐Ÿค™ hii tunaangalia vitu sukari kwenye mkojo, Protini โ†’ Malaria (MRDT ๐Ÿค™ mara nyingi mama anapoanza kiliniki yake ya kwanza/ pili lazima apim

Vipimo Muhimu Kwa Mama Mjamzito

โ†’  Maambuki ya virusi ( HIV)
๐Ÿค™ hii itakusaidia kujua hali yako mapema

โ†’ Kipimo cha Mkojo(URINALYSIS)
๐Ÿค™ hii tunaangalia vitu sukari kwenye mkojo, Protini

โ†’ Malaria (MRDT
๐Ÿค™ mara nyingi mama anapoanza kiliniki yake ya kwanza/ pili lazima apim
๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š (@childmaternal) 's Twitter Profile Photo

Mama Mjamzito Fanya Ivi ๐Ÿค™ ๐Ÿค™ Kula mlo kamili wa chakula ๐Ÿค™ Epuka kufanya kazi nzito mfano kunyanyua au kubeba vitu vizito ๐Ÿค™ Epuka kutumia dawa bila kupata maelekezo kutoka kwa daktri ๐Ÿค™ Pata wa kutosha wa kupumzika kila siku Rt ๐Ÿ‘

Mama Mjamzito Fanya Ivi ๐Ÿค™

๐Ÿค™ Kula mlo kamili wa chakula

๐Ÿค™ Epuka kufanya kazi nzito mfano kunyanyua au kubeba vitu vizito

๐Ÿค™ Epuka kutumia dawa bila kupata maelekezo kutoka kwa daktri

๐Ÿค™ Pata wa kutosha wa kupumzika kila siku

Rt ๐Ÿ‘
๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š (@childmaternal) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿค™ Usimtukane mtu bila sababu ๐Ÿค™ Usimheshimu mtu kwa sababu ya cheo au wadhifa wake, heshima Kila mtu kama ndo hulka yako ๐Ÿค™ Usipende kufwatia mambo yasiyokuhusu, jaribu kufanya mishe zako ๐Ÿค™ Hakuna binadamu asiependa starehe, ila fanya kila kitu kwa kiasi #Afya,#MamaNaMtoto

Afya Yangu ๐Ÿ’Š (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

โ— Dear brothers and sisters , bana Mwacheni Mungu aitwe Mungu tu ๐Ÿ˜ช he's a God who fulfills his promises... โ— Today is a good day to me. Tweet amen if you believe in God โ— Mungu atakujibu haja ya moyo wako very soon, trust

โ— Dear brothers and sisters , bana Mwacheni Mungu aitwe Mungu tu ๐Ÿ˜ช he's a God who fulfills his promises...

โ— Today is a good day to me. Tweet amen if you believe in God

โ— Mungu atakujibu haja ya moyo wako very soon, trust
Afya Yangu ๐Ÿ’Š (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

Kaka nikirudi safarini tutafanya biashara, Walau ata familia yang wapate chochote kitu Katika siku umeongea kitu kimenigusa ni leo kaka #Familia ๐Ÿค™

Afya Yangu ๐Ÿ’Š (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

Can u imagine we ni mtu tulikuwa tunakurespect en not because of ur career, but today u comeout en taking nonsense, enwei maoni yako hayapigwi mawe but the next time try to think what points are you taking here....

๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š (@childmaternal) 's Twitter Profile Photo

Je wewe huwa unataratibu za kupima macho yako mara kwa mara ? Hii hujulikana kama Health routine Kupima macho yako haina maana kwamba unapoteza pesa zako kwa kitu kisichokuwa na manufaa kwako bali ni kuchukua hatua au tahadhari kabla ya jambo kutokea

Je wewe huwa unataratibu za kupima macho yako mara kwa mara ? Hii hujulikana kama Health routine

Kupima macho yako haina maana kwamba unapoteza pesa zako kwa kitu kisichokuwa na manufaa kwako bali ni kuchukua hatua au tahadhari kabla ya jambo kutokea