COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile
COPRA Tanzania

@copra_tz

Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko.

Cereals and Other Produce Regulatory Authority (#COPRA).

ID: 1731960388571336704

calendar_today05-12-2023 08:55:27

230 Tweet

412 Followers

26 Following

COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi. Irene Mlola leo tarehe 22 Februari, 2025 amekutana na watumishi wa Mamlaka hiyo wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

Mkurgenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko( COPRA) Bi. Irene Mlola amekutana na kuzungumza na uongozi shirika la IDH ( Sustanable Trade Initiative )

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi. Irene Mlola amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea mashamba ya parachichi na kuzungumza na wakulima wa zao hilo vikiwemo vyama vya msingi vya ushirika katika wilaya ya mkoani Mbeya

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi Irene Mlola amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za vyama vya ushirika vya kilimo katika ujenzi wa miundombinu ya kuhifadhi mazao na vituo vya kukusanyia na kuuzia zao la parachichi.