Mnatuteka na kutupoteza na mkitaka watu wakae KIMYA. Hapana hilo kamwe halitawezekana.
Round hii hadi MAWE YATAPIGA KELELE. Ni wakati kila mtanzania kutumia TALANTA yake kupinga haya yanayoendelea kwenye nchi.
Mzizi wake ni kuwa na viongozi ambao sio chaguo la w/nchi.
Mambo yameoza kabisa huko bandarini, ni kama DP World walitaka bandari kufanyia issue nyingine kama kuchukua mikopo, maana hakuna huduma imekuwa bora ni migogoro tu imeongezeka kwa sasa na watu kusumbuliwa na kodi, tozo kutokana na huduma mbaya
======= message ==========
Mr