
SENETA DAUDI WA KOTA
@daudiwakota
MWANAFAMILIA WA #CLOUDS. #SUPERBRANDY3 #BALOZI WA CHAMELEONE TANZANIA.Bonyeza hapa kuisikiliza Clouds Fm tun.in/sekLz
ID: 494175105
http://tun.in/sekLz 16-02-2012 16:14:57
62,62K Tweet
62,62K Followers
848 Following


Leo nilienda kumfariji Mbunge wa Viti maalum, Halima James Mdee kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi Theresia Mdee, msiba huo uliotokea tarehe 30 Julai, 2024 katika hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu Dodoma. Pole sana mama yangu kipenzi changu MUNGU azidi kukubariki


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Musa Azzan Zungu (Mb) ametoa pole kwenye msiba wa Theresia Mdee, Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Halima James Mdee leo Agosti 2, 2024, na kusaini kitabu cha maombolezo Ubungo Kibangu, Dar es Salaam. Mheshimiwa


Mkurugenzi Mtendaji wa #Cloudsmediagroup, @josephkusaga akiwa ameambatana na mke wake Juhayna Kusaga (Mkurugenzi wa malkiachoicemedia) ametoa pole kwenye msiba wa Theresia Mdee, Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Halima James Mdee leo Agosti 3, 2024, na kusaini kitabu cha


Jana nimeshiriki mazishi ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Halima James Mdee) mazishi yaliyofanyika Moshi Vijijini Kilimanjaro. MUNGU azidi kusimama na familia ya Profesa Mdee katika nyakati hizi ngumu wanazopitia, MUNGU ni mwema kila wakati. #TutaonanaBaadae Cc: ester amos bulaya








Leo nikiwa na ndugu zangu Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Rais wa Yanga, Steve Nyerere, @daudimambya72_ @mbwigambwiguke_tz tumejumuika katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam kumpumzisha mtangazaji mwenzetu Khadija Shaibu 'Dida'





๐ Happy birthday Boss Joseph Mbilinyi

Jana Bungeni Dodoma nilipata nafasi ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt. Tulia Ackson (Dr. Tulia Ackson). #Asantekwatafuu Mheshimiwa Spika ๐โค๐.
