Dkt. Doto Biteko (@dbiteko) 's Twitter Profile
Dkt. Doto Biteko

@dbiteko

KNK

ID: 837643159387660289

calendar_today03-03-2017 12:37:46

14 Tweet

4,4K Followers

126 Following

Dkt. Doto Biteko (@dbiteko) 's Twitter Profile Photo

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu enyi wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta yetu Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%. Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini

Dkt. Doto Biteko (@dbiteko) 's Twitter Profile Photo

Asanteni kwa ushirikiano wenu wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta ya madini. Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%. Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini.

Dkt. Doto Biteko (@dbiteko) 's Twitter Profile Photo

Mimi na watangaza nia wengine 11 tumeomba kuteuliwa na chama chetu (CCM) kugombea ubunge Bukombe. Nimeiona hamasa ya vijana wengi kwenye jimbo letu. Nawapongeza wote kwa kuonyesha nia na siasa za uungwana. Wajumbe watatoa maoni yao kwa kura kati yetu sote. Nawatakia heri wote.

Dkt. Doto Biteko (@dbiteko) 's Twitter Profile Photo

Hongereni sana wachimbaji wa Mererani, historia mnaendelea kuandika. Jiwe jingine zuri la kg1.05 limepatikana. Alisema anataka kuzalisha mabilionea, wanaendelea kuzalishwa kwenye sekta ya madini. #JPM 2020 KaziIendelee#

Hongereni sana wachimbaji wa Mererani, historia mnaendelea kuandika. Jiwe jingine zuri la kg1.05 limepatikana.
Alisema anataka kuzalisha mabilionea, wanaendelea kuzalishwa kwenye sekta ya madini.
#JPM 2020 KaziIendelee#
Dkt. Doto Biteko (@dbiteko) 's Twitter Profile Photo

Tumenunua mitambo mitatu ya kisasa kabisa ya uchorongaji na mmojawapo ni Explorac 235 wenye uwezo wa kuchimba hadi mita 500 kwa siku. Mtambo huu ni mpya na kiteknolojia yake ni ya hali ya juu. Alisema lazima STAMICO ifufuke, imewezekana. #JPM2020 KaziIendelee#

Tumenunua mitambo mitatu ya kisasa kabisa ya uchorongaji na mmojawapo ni Explorac 235  wenye uwezo wa kuchimba hadi mita 500 kwa siku. Mtambo huu ni mpya na  kiteknolojia yake ni ya hali ya juu.
Alisema lazima STAMICO ifufuke, imewezekana.
#JPM2020 KaziIendelee#
Dkt. Doto Biteko (@dbiteko) 's Twitter Profile Photo

Hongereni sana wachimbaji Mahenge, hili jiwe kubwa la Spinel limepatikana tena. JPM alisema ni wakati wenu. Asanteni sana kwa kuchapa kazi. JPM2020 #KaziIendelee#

Dkt. Doto Biteko (@dbiteko) 's Twitter Profile Photo

Pole sana kwa familia ya Gabriel Kandonga, pole sana familia ya ITV na Radio one kwa kuondokewa na kijana mchapa kazi na aliyeipenda sana kazi yake. Gabriel hakuwa na makuu na wakati wote alikua rafiki wa wengi. RIP Gabriel.😭

Pole sana kwa familia ya Gabriel Kandonga, pole sana familia ya ITV na Radio one kwa kuondokewa na kijana mchapa kazi na aliyeipenda sana kazi yake. 
Gabriel hakuwa na makuu na wakati wote alikua rafiki wa wengi. 
RIP Gabriel.😭