Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile
Dada Mkuu Initiative

@dadamkuu255

A community driven & female led NGO dedicated to empowering underserved adolescent&youth 👉🏾Leadership👉🏾Health-SRH&MentalHealth 👉🏾Economic resilience

ID: 1445328974293475334

linkhttps://www.youtube.com/channel/UCusaZm5F3HfN_dgjIVysxnQ calendar_today05-10-2021 10:04:30

99 Tweet

97 Followers

27 Following

Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile Photo

“Hopefully, this year's International Women's Day will serve as a reminder of the enormous influence women have had and will continue to have on society. Continue to stand up for what you believe in”. Zakiaaaaa #IWD2023 #EmbraceEquity

“Hopefully, this year's International Women's Day will serve as a reminder of the enormous influence women have had and will continue to have on society. Continue to stand up for what you believe in”. <a href="/MrishoZakia/">Zakiaaaaa</a> #IWD2023 #EmbraceEquity
Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile Photo

“Ewe Dada, Katika Kila Fursa ndani ya Siku 365 hakikisha hujaacha kutumia hata Moja kutetea Usawa wa Kijinsia na Kuufikia Usawia” Usinyamaze Dada #EmbraceEquity

“Ewe Dada, Katika Kila Fursa ndani ya Siku 365 hakikisha hujaacha kutumia hata Moja kutetea Usawa wa Kijinsia na Kuufikia Usawia” 

Usinyamaze Dada #EmbraceEquity
Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile Photo

“Tumerudi — tukiwa na kusudi, ari, na mwamko mpya. Baada ya kipindi kirefu cha ukimya, Dada Mkuu Initiative imesajiliwa rasmi kama NGO, tayari kuendelea na dhamira yetu ya kweli na Maono mapana zaidi katika kushiriki kuleta mabadiliko chanya katika jamii”💪🌍

“Tumerudi — tukiwa na kusudi, ari, na mwamko mpya. Baada ya kipindi kirefu cha ukimya, Dada Mkuu Initiative imesajiliwa rasmi kama NGO, tayari kuendelea na dhamira yetu ya kweli na Maono mapana zaidi katika kushiriki kuleta mabadiliko chanya katika jamii”💪🌍
Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile Photo

Vision is “ To foster a healthier & poverty free community for young people especially adolescent girls & young women” Our mission is “ To empower underserved young people to become advocate for creating access to healthcare information and economic opportunities”

Vision is “ To foster a healthier &amp; poverty free community for young people especially adolescent girls &amp; young women”

Our mission is “ To empower underserved young people to become advocate for creating access to healthcare information and economic opportunities”
Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile Photo

Wasichana wengi wanakosa masomo kila mwezi kwa sababu tu ya kukosa pedi.Ni wakati wa kubadili hii hali. 🌸 Changia pedi, saidia mtoto wa kike adumishe ndoto zake bila vikwazo vya hedhi. Pamoja tunaweza kurejesha heshima na matumaini💪🏾🩷 #HedhiBilaKikwazo

Wasichana wengi wanakosa masomo kila mwezi kwa sababu tu ya kukosa pedi.Ni wakati wa kubadili hii hali. 🌸  
Changia pedi, saidia mtoto wa kike adumishe ndoto zake bila vikwazo vya hedhi.  
Pamoja tunaweza kurejesha heshima na matumaini💪🏾🩷

#HedhiBilaKikwazo
Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wa kike ana ndoto, lakini ndoto hizo hukatishwa kila mwezi kwa sababu ya kukosa pedi. 👉 Changia leo — kuwa sehemu ya mabadiliko! 📍Lipa Namba: 15890533 (Glaring Foundation) 📱Voda: 0749338333 (Dada Mkuu Initiative) #ChangiaPedi #MtotoWaKikeKwanza #HedhiSioAibu

Mtoto wa kike ana ndoto, lakini ndoto hizo hukatishwa kila mwezi kwa sababu ya kukosa pedi.
👉 Changia leo — kuwa sehemu ya mabadiliko!  

📍Lipa Namba: 15890533 (Glaring Foundation)  
📱Voda: 0749338333 (Dada Mkuu Initiative)

#ChangiaPedi #MtotoWaKikeKwanza #HedhiSioAibu
Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile Photo

Hedhi sio aibu. Hedhi sio uchafu. Hedhi ni afya. Lakini hadi leo, wasichana na wanawake wengi bado wananyanyapaliwa na kutengwa wakiwa hedhi. Ni wakati wa kuvunja kimya. Tuongee na Tuelimishine kwa pamoja. 🩸 #HedhiBilaKikwazo

Hedhi sio aibu. Hedhi sio uchafu. Hedhi ni afya. Lakini hadi leo, wasichana na wanawake wengi bado wananyanyapaliwa na kutengwa wakiwa hedhi.

Ni wakati wa kuvunja kimya. Tuongee na Tuelimishine kwa pamoja.

🩸 #HedhiBilaKikwazo
Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile Photo

Kila ifikapo tarehe 28/5 huwa tunaadhimisha siku ya hedhi dunia, kwa ushirikiano na ofisi ya Mkuu wa Wilaya tumetembelea shuleMSUNJILE Kongwa , Kata ya Sejeli kwa ajili ya kutoa elimu ya usafi wa hedhi na kugawa pedi 600 kwa watoto wa kike wanaotoka kaya maskini, #HedhiSioAibu

Kila ifikapo tarehe 28/5 huwa tunaadhimisha siku ya hedhi dunia, kwa ushirikiano na ofisi ya Mkuu wa Wilaya tumetembelea  shuleMSUNJILE Kongwa , Kata ya Sejeli kwa ajili ya kutoa elimu ya usafi wa hedhi na kugawa pedi 600 kwa watoto wa kike wanaotoka kaya maskini,
#HedhiSioAibu