Daddzvan_Sr (@daddzvan_sr) 's Twitter Profile
Daddzvan_Sr

@daddzvan_sr

Real men don't make excuses; they make progress.
Adventures Await......... 🌍✨🔥

ID: 1833038024604614656

calendar_today09-09-2024 07:02:03

2,2K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Daddzvan_Sr (@daddzvan_sr) 's Twitter Profile Photo

Kuamka ni ishara ya kuanza mapambano mapya dhidi ya ndoto zetu zilishindikana kutimia jana na juzi. Tia nia na uthubutu leo ili jua linapozama upate formula nzuri ya maendeleo yako. Good morning 🌏

Daddzvan_Sr (@daddzvan_sr) 's Twitter Profile Photo

Kagoma❤️🤍🦁 Camara💛🤍 Maana halisi ya viungo wakulinda Safu ya ulinzi. Sema huyu Camara aje Msimbazi kumpa backup Kagoma msimu ujao,,. oyaa weee litakufa jitu🦁🦁🏟🙌.!

Kagoma❤️🤍🦁                     Camara💛🤍
            Maana halisi ya viungo wakulinda Safu ya ulinzi. Sema huyu Camara aje Msimbazi kumpa backup Kagoma msimu ujao,,. oyaa weee litakufa jitu🦁🦁🏟🙌.!
Daddzvan_Sr (@daddzvan_sr) 's Twitter Profile Photo

Ukimfanya mwanamke wako aone yeye ndio chaguo lako pekee kwenye maisha yako.. Atakupa sababu za kwanini ulitakiwa kuwa na wanawake wengine 10. Good Morning Ladies 😂🙌 📌GOOD MORNING HUSTLES, MEN AND FATHERS