Daily Talk (@dailytalkz) 's Twitter Profile
Daily Talk

@dailytalkz

Youtube || youtu.be/Jt0QAK5ADQk

ID: 1442389486357213189

calendar_today27-09-2021 07:24:39

76,76K Tweet

25,25K Followers

12,12K Following

MZUNGU PORI💪 (@mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Ukijiunga kwa mara ya kwanza unapata bonus ya kubetia pindi tu utakapo depost kwenye kampuni hii... Unachelewa nini wakati.. 👉ina odd nzuri 👉ina machaguo mengi 👉unadepost na kuwithdraw bila shida kwa kutumia mitandao yako ya simu 👉ina wepesi kubetia wala haileti ugumu..

Ukijiunga kwa mara ya kwanza unapata bonus ya kubetia pindi tu utakapo depost kwenye kampuni hii...
Unachelewa nini wakati..
👉ina odd nzuri 
👉ina machaguo mengi
👉unadepost na kuwithdraw bila shida kwa kutumia mitandao yako ya simu
👉ina wepesi kubetia wala haileti ugumu..
Timber TZA (@timbertzaa) 's Twitter Profile Photo

Mungu alifanya marekebisho ya majina ya Abramu na sarai kwa kupanga herufi na kuziondoa ambazo hazihitajiki kutoka Abramu ikawa Ibrahimu, na sarai ikawa sara, marekebisho hayo yalifanyika wakati anaenda kuwapa mtoto. Herufi i ilimpa sarai mateso ya ugumba mpaka uzeeni mwake.

Timber TZA (@timbertzaa) 's Twitter Profile Photo

Mbunge Jimbo la Butiama na NW KS Mhe. Jumanne Sagini ameungana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Harambee ya Kuchangia Ukamilishaji wa Ujenzi wa Kanisa la MT. Petro Bunda Anglikana Tanzania Dayosisi ya Mara.

Rastafarian culture (@ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Nikikumbuka Nliwahi pima Nyanya kwenye kipimo cha Mimba ikaja positive nikamtumia mtoto wa Mtu nikapata 300k ya Abosheni nachoka kabisa enyewe mbinguni sitoboi labda nipewe link 😹😹😹

Timber TZA (@timbertzaa) 's Twitter Profile Photo

Mama hakikisha unamuogesha mtoto wako na kumkagua vizuri maeneo yake mbalimbalimbali ya mwili, muda mwingine jiongeze usimwachie dada wa kazi katika hili. Kwani ukichelewa unaweza kuta ameshafanyiwa vitendo vya kingono na amekuwa sugu hujui. #VisitMara

Mama hakikisha unamuogesha mtoto wako na kumkagua vizuri maeneo yake mbalimbalimbali ya mwili, muda mwingine jiongeze usimwachie dada wa kazi katika hili. Kwani ukichelewa unaweza kuta ameshafanyiwa vitendo vya kingono na amekuwa sugu hujui.
#VisitMara
Timber TZA (@timbertzaa) 's Twitter Profile Photo

L-R Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Chomete, Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mara Ndg. Patrick Chandi na Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini. Mwitongo, Wilaya ya Butiama mkoani Mara. #VisitMara

L-R Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Chomete, Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mara Ndg. Patrick Chandi na Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini. Mwitongo, Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
#VisitMara
Timber TZA (@timbertzaa) 's Twitter Profile Photo

UNAKUMBUKA KAULIMBIU YA SHULE ULIYOSOMA? Elimu ni Maisha Elimu ni Kazi Elimu ni Ufunguo wa maisha Elimu ni Mafanikio Elimu ni Urithi bora Elimu Bora kwa maendekeo Elimu ni Dira ya maisha Elimu ni Mabadiliko Elimu na Nidhamu

UNAKUMBUKA KAULIMBIU YA SHULE ULIYOSOMA?

Elimu ni Maisha
Elimu ni Kazi
Elimu ni Ufunguo wa maisha
Elimu ni Mafanikio
Elimu ni Urithi bora
Elimu Bora kwa maendekeo
Elimu ni Dira ya maisha
Elimu ni Mabadiliko
Elimu na Nidhamu
Timber TZA (@timbertzaa) 's Twitter Profile Photo

Kuna nyumba nyingine ukiingia kama ni mgeni unaweza kutofautisha kati ya  mfanyakazi na familia ila miji mingine hata udadisi vipi ni ngumu kumtofautisha mfanyakazi na familia unaweza waza mtoto wa pale ndio mfanyakazi kumbe ni tofauti mfanyakazi ni mwingine

Kuna nyumba nyingine ukiingia kama ni mgeni unaweza kutofautisha kati ya  mfanyakazi na familia ila miji mingine hata udadisi vipi ni ngumu kumtofautisha mfanyakazi na familia unaweza waza mtoto wa pale ndio mfanyakazi kumbe ni tofauti mfanyakazi ni mwingine
Rastafarian culture (@ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Wakiwasili katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre , Leo Tarehe 29, Mei 2025 #kazinaututunasongambele #IlaniYaCCM #IlaniMpya2530

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Wakiwasili katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre , Leo Tarehe 29, Mei 2025 

#kazinaututunasongambele

 #IlaniYaCCM  #IlaniMpya2530