๐——๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ญ๐—ฒ ๐— ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐Ÿฆ (@danyemufasa) 's Twitter Profile
๐——๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ญ๐—ฒ ๐— ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐Ÿฆ

@danyemufasa

๐Ÿ€One Love๐Ÿ€

ID: 1922933609830178816

calendar_today15-05-2025 08:35:13

2,2K Tweet

357 Followers

198 Following

CARGOโญ๐ŸŒ (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa ChatGPT, Sam Altman, amesema watu wanashiriki taarifa binafsi na ChatGPT bila kujua kwamba mazungumzo hayo yanaweza kutumika kama ushahidi mahakamani katika kesi za kisheria. Msije kusema sijawa Sanua.

Mkurugenzi Mtendaji wa ChatGPT, Sam Altman, amesema watu wanashiriki taarifa binafsi na ChatGPT bila kujua kwamba mazungumzo hayo yanaweza kutumika kama ushahidi mahakamani katika kesi za kisheria.

Msije kusema sijawa Sanua.
STIMAโšก (@josmanstima) 's Twitter Profile Photo

2018 nilikamatwa na polisi kwa kosa la uzuluraji Usiku wakanidaka wakaniweka Ndichi wakasema piga magoti ile nachuchumaa Kipisi Cha Bangi kikadondoka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚oyaa niliokota chapu Nikakimeza maana Saizi tungekua tuna ongea mengine ๐Ÿ’ฏBASED ON TRUE STORY

Swed Junior (@kingvannytz_) 's Twitter Profile Photo

Kuzaliwa upya ni jambo ambalo watu wengi wanakwepa kulizungumzia, hasa Wakristo. Lakini kama tunavyosoma katika Maandiko, kuzaliwa upya ni kweli ni jambo ambalo linawahusu wanadamu wote bila kujali dini au imani. Katika Mwanzo 1:27, tunaambiwa kwamba โ€œMungu alimuumba mwanadamu

Kuzaliwa upya ni jambo ambalo watu wengi wanakwepa kulizungumzia, hasa Wakristo. Lakini kama tunavyosoma katika Maandiko, kuzaliwa upya ni kweli ni jambo ambalo linawahusu wanadamu wote bila kujali dini au imani.

Katika Mwanzo 1:27, tunaambiwa kwamba โ€œMungu alimuumba mwanadamu
Betway Tanzania (@betwaytanzania) 's Twitter Profile Photo

Mambo #BetwaySquad ๐Ÿ‘‹ Tuna furaha kubwa kutangaza rasmi kuwa sisi ni Wadhamini Rasmi wa klabu ya @SimbaScTanzania ๐Ÿ”ด๐Ÿฆ Tunatazamia kuweka historia na Klabu hii ya kipekee kabisa ๐Ÿค #BetwayXSimba #NguvuMoja #BetNaBetway

Mambo #BetwaySquad ๐Ÿ‘‹

Tuna furaha kubwa kutangaza rasmi kuwa sisi ni Wadhamini Rasmi wa klabu ya @SimbaScTanzania ๐Ÿ”ด๐Ÿฆ 

Tunatazamia kuweka historia na Klabu hii ya kipekee kabisa ๐Ÿค

#BetwayXSimba #NguvuMoja #BetNaBetway
Uncle chitemo (@ankowataifa) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mwanaume aliyekufa kwa kuwa single , ila wapo waliojiua Kwa kuwapenda wanawake wasiosahihi kwao .Uamuzi ni wako โœ๏ธ

Tebbe ๐Ÿซฆ (@ms_tebbe) 's Twitter Profile Photo

Hakuna chochote cha kushindana na dhamira ya mabadiliko iliyo ndani yako. Siku uliyonayo ni leo,itumie vyema kwa sababu hairudi tena Nikutakie mchana mwema,usiache kula hata kama unapitia magumu namna gani.