Dar24 (@dar24news) 's Twitter Profile
Dar24

@dar24news

Dar24 is a media house offering a range of accurate news to the Swahili speaking audience across the globe.

ID: 3369347813

linkhttp://www.dar24.com calendar_today10-07-2015 15:15:36

70,70K Tweet

75,75K Followers

31 Following

Dar24 (@dar24news) 's Twitter Profile Photo

''Barcelona ya sasa ukijichanganya tu unapigwa bao za kutosha''. Huu ni usemi wa mashabiki wa Barcelona wenye uhalisia ndani yake baada ya kuendelea kutoa vipigo kwa wapinzani wake. Barcelona imekutana na Valencia hatua ya robo fainali ya kombe la Copa Del Rey na kushinda 5-0

KIMATAIFA: AANDAMANA KUIUNGA MKONO DRC Mamia ya watu wamejitokeza huko Brussels Ubelgiji kuandamana kuiunga mkono DRC na kuutuhumu Umoja wa Ulaya kutochukua hatua zozote, mandamano yanayokuja baada ya Viongozi wa SADC na EAC kujadili amani ya DRC

KIMATAIFA: 

AANDAMANA KUIUNGA MKONO DRC

Mamia ya watu wamejitokeza huko Brussels Ubelgiji kuandamana kuiunga mkono DRC na kuutuhumu Umoja wa Ulaya kutochukua hatua zozote, mandamano yanayokuja baada ya Viongozi wa SADC na EAC kujadili amani ya DRC
Dar24 (@dar24news) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa Shinyanga afanye kazi usiku na mchana ili kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa uwanja huo ikiwemo ufungaji wa taa na uanze kutumika wakati wote.

Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku rasmi utangazaji wa mechi zinazohusisha timu ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Tottenham Hotspur. Uamuzi huu muhimu wa kiongozi Kim Jong-un unaonekana kuhusishwa moja kwa moja na uwepo wa nahodha wa Korea Kusini Heung-min Son.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kuwakatama watuhumiwa wa makosa ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia 15 na kuwafikisha mahakamani.

Ac Milan inalenga kurekebisha masharti ya kumnunua beki wa kulia Alex Jimenez, kulingana na Relevo.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 alijiunga na timu ya Milanese mnamo Julai 2024 kwa euro milioni 5.

Kuelekea siku ya wanaweka duniani kutana na dereva mwanamke alieaminiwa na serikali kutoka wizara ya habari,Sanaa ,utamaduni na michezo Sophia waziri namna anaeleze namna alivyoipenda kazi hiyo.

Dar24 (@dar24news) 's Twitter Profile Photo

Katu huwezi kumbadilisha mtu tabia kama hajataka kubadilika ukiona anabadilika ujue ameamua na sio wewe umembadili. # LINE CORNER