
CHASO DAR ES SALAAM
@darchaso
UKURASA RASMI WA CHASO DSM
ID: 1540948219009564672
26-06-2022 06:41:22
611 Tweet
2,2K Followers
289 Following







Hongera sana Martine Abdul Kandore kwa kuchaguliwa kuwa mratibu(mwenyekiti) wa CHASO DAR ES SALAAM kwa kipindi Cha mwaka 2025/2026.


Hongera sana janeth kityale kwa kuchaguliwa kuwa Katibu wa CHASO DAR ES SALAAM kwa kipindi Cha mwaka 2025/2026.





Nikizungumza na vijana wa CHASO hapo Jana kwenye uchaguzi wa CHASO mkoa wa Dar es salaam CHASO DAR ES SALAAM #NoReformsNoElection

Mwenyekiti Martine Abdul Kandore na katibu wa CHASO Dar katika viunga vya mahakama leo. Ni katika muendelezo wa kesi mbili zinazo mkabili Mh Lissu. #NoReformsNoElection



Kongamano kongamano vijana wote wa vyuo vikuu vyuo vya kati na secondary tunakutana tarehe 24/5 makao makuu ya CHADEMA mikocheni kujadili masuala yetu vijana na muelekeo mgeni rasmi atakua John Heche pamoja na safu nzima ya Official Bavicha Taifa . Don't plan to miss you gonna miss vibe.


Vijana wasomi 24/5 tukio ni moja tu WASOMI FESTIVAL pale CHADEMA HQ njoo upate madini kutoka kwa John Heche Deogratias Mahinyila na wengine wengi. Don't plan to miss you gonna miss the vibe. #NoReformsNoElection