Day_Waka😎 (@day_waka25) 's Twitter Profile
Day_Waka😎

@day_waka25

ID: 1870789987056128000

calendar_today22-12-2024 11:14:57

23,23K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

𝗕𝗔𝗗𝗠𝗔𝗡 (@d1_janja) 's Twitter Profile Photo

Kwenye utafutaji kuna kazi hatarishi Kwel kama ya mgodini? kifo nje nje pia kushuhudia mtu anakufa ni swala la kawaida tu. Niliwah kwenda wilaya ya nyang'wale Geita mgodi wa igalula kwenye kutafta maisha nikashuhudia matukio makubwa sana. Soma hii story 👇

FIRST BORN 🇹🇿 (@tzmikese03) 's Twitter Profile Photo

☓ Bila followers ni kujiongelesha ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back ✍️ Mwisho kabisa mnifollow FIRST BORN 🇹🇿 Kwa pamoja tutafika 10k ✌️👇

KUBWA LA MAADUI (@atizulwa_) 's Twitter Profile Photo

Sometimes serikali Yetu 🚮🚮 Huwa Inazingua Sana Yaiwezekani Toka Saa nne Asubuhi nipo Mkata Kisa Tu Gari La Mafuta Limeziba Barabarani Leo Ndo Nimeona Umuhimu Wa Katiba Bus linapitishwa Kwenye Mahindi kama Sio Upuuzi Nini 😙🥲

Day_Waka😎 (@day_waka25) 's Twitter Profile Photo

Anko zangu Mtupumzishe Sasa Status PAWA TikTok PAWA INSTAGRAM PAWA Kila Sehemu PAWA Mpaka Mwingine Yupo Chooni Anaimba PAWA Duuuh 🙌🏽

CARGO⭐🌍 (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

Jamii hii ya panya anayevutia na kushangaza sana anapatikana Ulaya Mashariki na sehemu za Asia ya Kati. Viumbe hawa ni vipofu, na macho yao yamefunikwa kabisa na ngozi. Panya hawa husifika sana kwa uchimbaji mashimo makubwa ya handaki kwa kutumia meno yao ya mbele yenye

Jamii hii ya  panya anayevutia na kushangaza sana anapatikana Ulaya Mashariki na sehemu za Asia ya Kati.

Viumbe hawa ni vipofu, na macho yao yamefunikwa kabisa na ngozi. 

Panya hawa husifika sana kwa uchimbaji mashimo makubwa ya handaki kwa kutumia meno yao ya mbele yenye