Bestlooser ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@deogratiusmic16) 's Twitter Profile
Bestlooser ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@deogratiusmic16

jogoo awike au asiwike still bado kutakucha 2

ID: 1193550079166160896

linkhttp://michaeldeogratius.websites.co.in calendar_today10-11-2019 15:25:07

2,2K Tweet

8,8K Followers

8,8K Following

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Kilimo kimenoga na Vijana wanakamata fursa. Nilifurahi sana kukutana na huyu Kijana Jacob wakati napita kwenye Ziara Mkoani Ruvuma. Niliona shamba lake nikashawishika kusimama na kumpongeza kwa kazi nzuri. #Agenda1030 Kilimo ni Fursa. Kilimo ni biashara. Kongole kwa vijana

World of Statistics (@stats_feed) 's Twitter Profile Photo

Elon Musk Starlink availability (debut): ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USA: Nov 2020 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท Puerto Rico: Nov 2020 ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ฎ Virgin Islands: Nov 2020 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada: Jan 2021 ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง UK: Jan 2021 ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany: Mar 2021 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ New Zealand: Apr 2021 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia: Apr 2021 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France: May 2021 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น Austria: May 2021 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Netherlands: May 2021 ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo katika katika uzinduzi wa kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wa Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1977 mpaka 1980 na 1983 mpaka 1984. Nafarijika kuona nchi yetu sasa inafanya kazi kubwa ya kuweka kumbukumbu,

Mapema leo katika katika uzinduzi wa kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wa Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1977 mpaka 1980 na 1983 mpaka 1984. Nafarijika kuona nchi yetu sasa inafanya kazi kubwa ya kuweka kumbukumbu,
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ Mkomazi, Tanga ๐Ÿ—“๏ธ 05.10.2024 Nilipata nafasi ya kutembelea na kukagua maendeleo ya miradi ya Umwagiliaji ikiwemo mradi wa Mkomazi Mradi huu ni ndoto ya Mwalimu Julius Nyerere inayotimizwa na serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Mradi wa

๐Ÿ“ Mkomazi, Tanga

๐Ÿ—“๏ธ 05.10.2024 

Nilipata nafasi ya kutembelea na kukagua maendeleo ya miradi ya Umwagiliaji ikiwemo mradi wa Mkomazi

Mradi huu ni ndoto ya Mwalimu Julius Nyerere inayotimizwa  na serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan

Mradi wa
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ Nzega 14.10.2024 Leo nimejisajili rasmi kwenye Daftari la Wapiga Kura ili kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu. Kituo changu kipo Mtaa wa Humbi Nzega Mjini, ambapo nimetoa wito kwa wananchi wote, hususan wananzega,

๐Ÿ“ Nzega
14.10.2024

Leo nimejisajili rasmi kwenye Daftari la Wapiga Kura ili kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.

Kituo changu kipo Mtaa wa Humbi Nzega Mjini, ambapo nimetoa wito kwa wananchi wote, hususan wananzega,
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ Dar es Salaam ๐Ÿ—“๏ธ 13.11.2024 Leo nimehudhuria hafla fupi Makao Makuu ya Benki ya NMB, Dar es Salaam na kukabidhi hundi ya Shilingi Bilioni 117 kama fidia kwa wakulima wa Tumbaku Tabora. Nimeshukuru na kuwapongeza Benki ya NMB kwa msaada wake kwa wakulima nchini na kwa kujenga

๐Ÿ“ Dar es Salaam
๐Ÿ—“๏ธ 13.11.2024

Leo nimehudhuria hafla fupi Makao Makuu ya Benki ya NMB, Dar es Salaam na kukabidhi hundi ya Shilingi Bilioni 117 kama fidia kwa wakulima wa Tumbaku Tabora.

Nimeshukuru na kuwapongeza Benki ya NMB kwa msaada wake kwa wakulima nchini na kwa kujenga
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kamishna wa Polisi CP. Suzan Kaganda alistahili kuteuliwa kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na siyo kuteuliwa kuwa balozi na kusubiri kupangiwa kituo cha kazi. Nimemsikiliza akizungumza, anaonekana ni mtu mwenye utimamu wa kutosha kulinda raia na mali zao. Anaijua PGO.

LYKER ๐ŸŒด (@paullyker) 's Twitter Profile Photo

Hii story imenifanya mood yangu ipotee ghafla Nimepatwa na huzuni ๐Ÿ’”๐Ÿ™†๐Ÿ˜” Ni Ndefu kidogo ila Soma au Bookmark usome baada ukipata Muda. ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ 1/16 ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

Hii story imenifanya mood yangu ipotee ghafla Nimepatwa na huzuni ๐Ÿ’”๐Ÿ™†๐Ÿ˜”

Ni Ndefu kidogo ila Soma  au Bookmark usome baada ukipata Muda. ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ

1/16 ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Bestlooser ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@deogratiusmic16) 's Twitter Profile Photo

Nchi ngumuu sana hii , 2012 mmetunyonga kwenye matokeo , tukiwa na umri mliweka kigezo cha jkt meona umri umepita mkakiondoa mnatuwekea kingine umri daaah hiz dhambi hiz MUNGU yupo.Police Force TZ

Nchi ngumuu sana  hii , 2012 mmetunyonga kwenye matokeo 
, tukiwa  na umri  mliweka kigezo cha jkt meona umri umepita mkakiondoa mnatuwekea kingine umri daaah hiz dhambi hiz  MUNGU yupo.<a href="/tanpol/">Police Force TZ</a>
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Siku moja nilikutana na Mzee Wasira kwenye mkutano mmoja Serena Hotel , nikamwambia Mzee huoni kuwa hali ni mbaya Nchini ? Akaniambia naona lakini nitasema kama utanifundisha namna ya kutoroka Nchini bila kukamatwa !!!

Siku moja nilikutana na Mzee Wasira kwenye mkutano mmoja Serena Hotel , nikamwambia Mzee huoni kuwa hali ni mbaya Nchini ? Akaniambia naona lakini nitasema kama utanifundisha namna ya kutoroka Nchini bila kukamatwa !!!