
Doctor Rafiki Africa
@doctorrafiki
A health initiative dedicated to providing public health education in Swahili. #UHC #Publichealth #SDG3 [email protected]
ID: 1166006591101030401
https://open.spotify.com/show/4H4z5TXLpCrUTQpxgxdNth?si=gwGtltmuTvuqNu9rqHhEqw 26-08-2019 15:17:04
391 Tweet
274 Followers
60 Following


Our new episode is out! 🔥 Watch and Listen through our #youtube channel Doctor Rafiki Africa #doctorrafikiafrica #doctorrafiki #healthtips #afya #afyabora #afyatips #afyayangu #podcast #consultancy #spotify #youtube #applepodcast


Wiki hii ndani ya Doctor Rafiki Africa podcast tunaongelea kunawa mikono si tu kwa usafi wa kila siku lakini kama silaha muhimu ya kujilinda dhidi ya magonjwa! #handwashingday Karibu usikilize; Spotify: open.spotify.com/episode/2DqSJM… Youtube; youtu.be/G2b7uZpqoR0?si…



Don't Miss out this online training, Aenon Healthcare collaborating with Doctor Rafiki Africa. This session will be carried out on the 17th of May 2025. We are inviting you to register yourself through the options below! #onlinetraining #doctorrafiki #aenonhealthcare #timemanagement



Heartfelt congratulations to Prof. Mohamed Janabi for being elected as the #WHO Africa Regional Director! Your visionary leadership and unwavering dedication to health will undoubtedly drive transformative change across the continent. Wishing you great success in this vital role.


Unajua yule mzazi anayehangaika hajui apake nini mtoto wake sababu kila anachompaka ngozi inaharibika? Au ni wewe mwenyewe. Basi wiki hii kwenye Doctor Rafiki Africa podcast nimeongea na Daktari bingwa wa ngozi Dr.salva nicas chanzo + hatua za kufanya. Link: youtu.be/fphLHSx708o


Unajua yule mzazi anayehangaika hajui apake nini mtoto wake sababu kila anachompaka ngozi inaharibika? Au ni wewe mwenyewe. Basi wiki hii kwenye Doctor Rafiki Africa podcast nimeongea na Daktari bingwa wa ngozi Dr.salva nicas chanzo + hatua za kufanya. Link: youtu.be/fphLHSx708o



Hi Rafiki! Hope you do not miss this episode in Doctor Rafiki Africa podcast as I embark with one of the best dermatologist Dr. salva nicas in discussing myths and misconceptions around eczema. Click the link to listen; youtu.be/YD1lnWcYaAY OR open.spotify.com/episode/08aqc8…




Have you listened to this week’s episode in Doctor Rafiki Africa podcast? 😀 Whether you’re thinking of starting a skin care routine or you’ve been on one but wish to improve your results, this episode is for you! Listen through; youtu.be/RIfGrbiuhqQ or open.spotify.com/episode/2fD8Vo…



Doctor Rafiki Africa Mada muhimu kabisa hii, watu wengi wamekuwa wakiishi na matatizo ya ngozi kwa muda mrefu wakizania ni magonjwa ya muda mrefu kumbe ni suala tu la kuitunza ngozi yao💥💥💥💥🤝🏾

Hi Rafiki✨ Mwezi June katika Doctor Rafiki Africa tulijikita kuongea mada mbalimbali kuhusu ngozi tukiwa na Dr salva nicas . Leo tutakua na live session tukijibu maswali juu ya utunzaji na urembo wa ngozi. Send us your question and be sure to join 😀 #DoctorRafikipodcast #Skincare
