
Dr. Stergomena Lawrence Tax
@drtaxs
Minister for Defence & National Service
ID: 3322762636
https://www.modans.go.tz 13-06-2015 09:36:04
3,3K Tweet
29,29K Followers
292 Following


Nawatakia Watanzania wenzangu kheri ya siku ya #Muungano. Muungano, Mshikamamo, na Umoja Ndio Nguvu Yetu WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA








Hongera sana JKT Queens kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya wanawake Tanzania WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA


Namshukuru Mhe Rais Samia Suluhu kwa kuendelea kuimarisha Ulinzi wa Nchi yetu, nalipongeza JWTZ kwa uzalendo na kazi kubwa nnayoifanya youtu.be/MH1OUHhWeeM?si…


Sad indeed RIP Edgar Chagwa Lungu. Will forever cherish working with you as my leader, Chair of SADC Organ Hakainde Hichilema


🙏kazi kubwa sana na mafanikio lukuki yanayoonekana wazi. Mwenye macho haambiwi tazama. Kazi na Utu, tunasonga mbele na Samia Suluhu
