Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile
Dr. Dorothy Gwajima

@dr_dgwajima

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.

Mke wa Adv. Gwajima na Mama wa Familia.

ID: 1444608057963597827

linkhttps://www.jamii.go.tz/ calendar_today03-10-2021 10:20:11

13,13K Tweet

23,23K Followers

154 Following

Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Dr. Dorothy Gwajima mbona mkono online tu? Kwa ground hakuna kitu🫠 Haya sasa jamani mnaona hapa kwa ground huko Arusha wakidhimisha siku ya Familia tarehe 15 Mei, 2025... Sasa nitakuwa napakia mambo ya kwa ground tu.... Arusha Patil Afisa Ustawi wa Jamii makini kabisa Denis Shebe,

Dr. Dorothy Gwajima mbona mkono online tu? Kwa ground hakuna kitu🫠

Haya sasa jamani mnaona hapa kwa ground huko Arusha wakidhimisha siku ya Familia tarehe 15 Mei, 2025...

Sasa nitakuwa napakia mambo ya kwa ground tu....

Arusha Patil Afisa Ustawi wa Jamii makini kabisa Denis Shebe,
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Video kutoka Ground ya Arusha🤗 Dr. Dorothy Gwajima mbona mkono online tu? Kwa ground hakuna kitu🫠 Haya sasa jamani mnaona hapa kwa ground huko Arusha wakiadhimisha Siku ya Familia tarehe 15 Mei, 2025... Sasa nitakuwa napakia mambo ya kwa ground tu.... Arusha Patil Afisa Ustawi wa

Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Familia Duniani MTWARA nako ilikuwa kucheleeeee....🤗🤗🤗 Ambapo; katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani, Mratibu wa Usajili wa Utoaji wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wenye Umri chini ya Miaka 5 Afisa Bi. Felista Kyando, aliwataka akina mama kuacha tabia ovu ya

Siku ya Familia Duniani MTWARA nako ilikuwa kucheleeeee....🤗🤗🤗

Ambapo;  katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani, Mratibu wa Usajili wa Utoaji wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wenye Umri chini ya Miaka 5 Afisa Bi. Felista Kyando, aliwataka akina mama kuacha tabia ovu ya
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Nani kama Ustawi wa Jamii, Arusha hiyoooo🤗 Video kutoka Ground 🤗 Dr. Dorothy Gwajima mbona mkono online tu? Kwa ground hakuna kitu🫠 Haya sasa jamani mnaona hapa kwa ground huko Arusha wakiadhimisha Siku ya Familia tarehe 15 Mei, 2025... Sasa nitakuwa napakia mambo ya kwa ground

Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Nani kama Wababa wa Arushaaaaa🤗🤗🤗 Video kutoka Ground 🤗 Dr. Dorothy Gwajima mbona upo online tu? Kwa ground hakuna kitu🫠 Haya sasa jamani mnaona hapa kwa ground huko Arusha Maafisa wetu wa Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii hawakuwaacha akina baba kwenye kuadhimisha Siku ya

Said Muhibu 🇵🇸 (@saidmuhibu255) 's Twitter Profile Photo

Dr. Dorothy Gwajima Democracy 😄 Nasoma Comments Mkuu una High Emotional intelligence kwakweli nipe na mimi hiyo kitu inisaidie maishani mwangu namna ya ku deal na toxic people

UN Women Tanzania (@unwomentanzania) 's Twitter Profile Photo

We extend heartfelt thanks to H.E. President Alexander Stubb of Finland and First Lady Suzanne Innes-Stubb for visiting UN Women’s #WLER project intervention at the Machinga Complex. Grateful to Hon. Minister Dr. Dorothy Gwajima, Hon. Minister Mahmoud Thabit Kombo, MFA Tanzania, RC

We extend heartfelt thanks to H.E. President Alexander Stubb of Finland and First Lady Suzanne Innes-Stubb for visiting UN Women’s #WLER project intervention at the Machinga Complex.

Grateful to Hon. Minister Dr. Dorothy Gwajima, Hon. Minister Mahmoud Thabit Kombo, MFA Tanzania,  RC
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Said Muhibu 🇵🇸 Democracy Hawa toxic people hawa dawa yao wapende hivyo hivyo hadi waanze kuji toxify wao wenyewe 🥳 huku unawaambia Hi, toxic people, how are you today🖐 LoveU❤️ dont RIP because of autointoxication, please, I need you🫠

Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam, Machinga Complex, Ilala, 16 Mei 2025 Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nimetoa shukrani kwa Mhe. Rais Alexander Stubb, Rais wa Jamhuri ya Finland alipotembelea katika Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam

Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam, Machinga Complex, Ilala, 16 Mei 2025 Picha na matukio ya kumpokea Mhe. Alexander Stubb, Rais wa Jamhuri ya Finland alipotembelea katika Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam akiwa na Mke wake Mhe. Mama Suzanne Innes-Stubb. Ziara hiyo ya kihistoria ni

Dar es Salaam, Machinga Complex, Ilala,
16 Mei 2025

Picha na matukio ya kumpokea Mhe. Alexander Stubb, Rais wa Jamhuri ya Finland alipotembelea katika Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam akiwa na Mke wake Mhe. Mama Suzanne Innes-Stubb.

Ziara hiyo ya kihistoria ni
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam, Machinga Complex, Ilala, 16 Mei 2025. Picha na 1. Nikitoa salaam za Shukrani kwa Mhe. Rais Alexander Stubb, Rais wa Jamhuri ya Finland alipotembelea katika Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam akiwa na Mke wake Mhe. Mama Suzanne Innes-Stubb. Picha ya 2:

Dar es Salaam, Machinga Complex, Ilala,
16 Mei 2025.

Picha na 1. Nikitoa salaam za Shukrani kwa Mhe. Rais Alexander Stubb, Rais wa Jamhuri ya Finland alipotembelea katika Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam akiwa na Mke wake Mhe. Mama Suzanne Innes-Stubb.

Picha ya 2:
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam, Machinga Complex, Ilala, 16 Mei 2025 Picha na matukio kwenye ziara ya Rais Alexander Stubb, Rais wa Jamhuri ya Finland alipotembelea katika Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam akiwa na Mke wake Mhe. Mama Suzanne Innes-Stubb. Kwenye picha ya 1:

Dar es Salaam, Machinga Complex, Ilala,
16 Mei 2025

Picha na matukio kwenye ziara ya Rais Alexander Stubb, Rais wa Jamhuri ya Finland alipotembelea katika Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam akiwa na Mke wake Mhe. Mama Suzanne Innes-Stubb.

Kwenye picha ya 1:
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam, Machinga Complex, Ilala, 16 Mei 2025 Ukafika muda wa kuagana na mgeni wetu baada ya ziara. Kwa heri Rais Alexander Stubb, Rais wa Jamhuri ya Finland. Ahsante sana kwa kutembelea Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam ukiongozana na Mke wako Mhe. Mama

Dar es Salaam, Machinga Complex, Ilala,
16 Mei 2025
Ukafika muda wa kuagana na mgeni wetu baada ya ziara.

Kwa heri Rais Alexander Stubb, Rais wa Jamhuri ya Finland. Ahsante sana kwa kutembelea Soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam ukiongozana na Mke wako Mhe. Mama
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Picha na Matukio MKOANI LINDI -Mambo kwa FIELD, Wilayani Kilwa, Siku ya Familia Duniani. 15 Mei, 2025. Elimu ikitolewa kwa jamii huku watoto nao wakisikiliza wajibu wao kwenye familia kwa mujibu wa sheria yao ya watoto na 21 ya mwaka 2009 na marekebisho yake. 🤗

Baadhi ya Picha na Matukio MKOANI LINDI -Mambo kwa FIELD, Wilayani Kilwa, Siku ya Familia Duniani. 15 Mei, 2025.

Elimu ikitolewa kwa jamii huku watoto nao wakisikiliza wajibu wao kwenye familia kwa mujibu wa sheria yao ya watoto na 21 ya mwaka 2009 na marekebisho yake. 🤗
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

LEO NINA USHAURI TU. Kwa wale wanaopiga picha za wapendanao kwenye mazingira tata halafu baadae wakitofautiana wanaanza kuzitumia kudhalilishana. Ushauri wangu: muache hiyo tabia ya kupiga picha hizo maana kimsingi na kwa maoni yangu na kimaadili kwa ujumla wake, nadhani

LEO NINA USHAURI TU.

Kwa wale wanaopiga picha za wapendanao kwenye mazingira tata halafu baadae wakitofautiana wanaanza kuzitumia kudhalilishana.

Ushauri wangu: muache hiyo tabia ya kupiga picha hizo maana kimsingi na kwa maoni yangu na kimaadili kwa ujumla wake, nadhani
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

PONGEZI NYINGI KWAKO Prof. Mohamed Janabi kwa hatua hii kubwa, tunakutakia kila la heri kwenye majukumu yako mapya na mazito kwa Afrika yetu🙌🇹🇿 Source: instagram.com/p/DJzBMPDvVBs/… Profesa Mohamed Janabi amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Profesa

PONGEZI NYINGI KWAKO Prof. Mohamed Janabi kwa hatua hii kubwa, tunakutakia kila la heri kwenye majukumu yako mapya na mazito kwa Afrika yetu🙌🇹🇿

Source: instagram.com/p/DJzBMPDvVBs/…

Profesa Mohamed Janabi amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Profesa
Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

Jambo linakuja👋 Tunainuka, Tunaimarika, Tuna Tusua Kiuchumi👋 Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi ni njia 🤗🇹🇿 Kulia kwangu ni Dkt. John Jingu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum akifuatiwa na Bi. Felista Mdemu, Naibu Katibu

Jambo linakuja👋

Tunainuka, Tunaimarika, Tuna Tusua Kiuchumi👋
Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi ni njia 🤗🇹🇿

Kulia kwangu ni Dkt. John Jingu,  Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum akifuatiwa na Bi. Felista Mdemu, Naibu Katibu